Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF,
Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc.
Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi mwanamke akizingua namchana nawaambia jichunge kama wanawake hamna kanuni ya kukosoana kwa Nia njema na upendo shauri yenu, pigeni picha tumieni kioo vizuri fanyeni tathmini ya kina sio mnaonekana kama mazombi halafu mtegemee kusifiwa.
Dadeki Sina upuuzi wa kusema unafiki kama umezingua nakuchana makavu. Tokelezea na vybes nzuri hata na sisi tujazia pesa uendelee na hilo vybe sio unakuja kama kibwengo acheni hizo
Boresheni nasi tutawaboreshea
Shukrani sana 🙏🙏
Wadiz