Kuna wanawake wazuri, wadogo halafu wana pesa!

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Mic check! mic check one two!...
ni nani tena kama sio the JUNGLE MASTER!? niite Champ au THE ICON.

Ohhoo ebanaeee mida hii nipo mezani hapa, ndani ya mgahawa mmoja classic sana! pembeni kuna juice ya embe baridiiii, ikiwa ni viganja viwili vyenye jumla ya vidole 10, vikishirikiana kwa makini kabisa kui_operate samsung s8 ili kuweza kuuwasilishia uzi huu.

wakat napiga juice hapa akapita mtoto mkaliii! nikamuita akaja bila hiyana, tukapiga story 2 tatu duuh! mtoto mkali balaa, wakati wa story mara akaja mama mmoja akamuita yule mrembo "boss meneja anakuhitaji!"

yule mrembo akaniomba excuse akasepa! nikamwita yule maza akaja nikamdadisi kua yule mrembo ni nani?! duuh! sikuamini et ndio mmiliki wa ile business!
ni mtoto m1 m'bichi mkali ajabu!

aseee hilo toto lilivyo tamu nataman angekua mke wangu maana duuh!

wayaaaa!
jungle master!
 
Mkuu una miotoo
 
certified idiot
 
Umeanza kufeli masomo ya uraia na gegrafia
Maswali mengi ya nin
Huko huko mbele ungepata majibu yote
Tengeneza connection muwe mnapata saidia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…