comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
- Thread starter
- #21
UNFOLLOW hahahaaTunasumbuana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNFOLLOW hahahaaTunasumbuana
UNFOLLOW hahahaa
Umejoin jana tayari ushaanzisha nyuzi 14 hadi sasa na siku bado haijaisha....hii ni moja kati ya maajabu yaliyowahi kutokea JF
Hongera sana
Kakwambia kakutana na toto siku hiyo hiyo, halafu siku hiyo hiyo anatamani toto liwe mke wake!Umejoin jana tayari ushaanzisha nyuzi 14 hadi sasa na siku bado haijaisha....hii ni moja kati ya maajabu yaliyowahi kutokea JF
Hongera sana
Umejoin jana tayari ushaanzisha nyuzi 14 hadi sasa na siku bado haijaisha....hii ni moja kati ya maajabu yaliyowahi kutokea JF
Hongera sana
Naomba link ya uzi wako nikaupitie ??
Yeah,naona mkuuKakwambia kakutana na toto siku hiyo hiyo, halafu siku hiyo hiyo anatamani toto liwe mke wake!
Hacheleweshi mchakato.
Nimempa pongeziNaona unampa kavu zake
Mimi nawashangaaga sana watu wanaosema eti mwanamke tako sura hata mbuzi anayo hivi umeshawahi kuliona tako la pundamilia wewe? Sasa tako la pundamilia utalifananisha na sura ya mbuzi? Mwanamke sura babu weee tako hata pundamilia analo.Mm napenda mwanamke awe na CHURA! Sura na miguu hata Mbuzi anayo
Unfollow ili iweje sasa mkuu? Tupo humu kwa ajili ya kutoa elimu kwa watu wote mpaka waelewe,ipo siku elimu itakuingia na kukaa kwenye raiti traki.waombe jf waweke unfollow, nina mtoto mkubwa kama wewe
nataka nifanye ubinafsishaji fastaKakwambia kakutana na toto siku hiyo hiyo, halafu siku hiyo hiyo anatamani toto liwe mke wake!
Hacheleweshi mchakato.
kama naandika upumbavu usisomeUnfollow ili iweje sasa mkuu? Tupo humu kwa ajili ya kutoa elimu kwa watu wote mpaka waelewe,ipo siku elimu itakuingia na kukaa kwenye raiti traki.
umetisha sanaMimi nawashangaaga sana watu wanaosema eti mwanamke tako sura hata mbuzi anayo hivi umeshawahi kuliona tako la pundamilia wewe? Sasa tako la pundamilia utalifananisha na sura ya mbuzi? Mwanamke sura babu weee tako hata pundamilia analo.
Basi hapa kama nawaona wale wazee wa kukariri mambo watahisi kuwa nina sura nzuri halafu tako dogo eti kwa sababu tu niko upande wa wanawake wenye sura nzuri na matako madogo. Yaani bongo ukitetea vilema na wewe unaonekana kilema. Haya bwana ila hii ni Jamii Forums tu ndugu zangu.
Unaandika vitu vya msingi sana vyenye kuelemisha jamii endelea mkuu maana vijana wanajifunza.kama naandika upumbavu usisome
ok okUnaandika vitu vya msingi sana vyenye kuelemisha jamii endelea mkuu maana vijana wanajifunza.
Tusiokuwa na chura tunapata shida sanaMm napenda mwanamke awe na CHURA! Sura na miguu hata Mbuzi anayo
ohhooo asee hamna kitu ni swalamaaaDogo kipepe umekuja kwa kasi saana hapa jamvini.. Vip una ajenda gani?