Kuna wanawake wazuri, wadogo halafu wana pesa!

Naomba link ya uzi wako nikaupitie ??
 
Mm napenda mwanamke awe na CHURA! Sura na miguu hata Mbuzi anayo
Mimi nawashangaaga sana watu wanaosema eti mwanamke tako sura hata mbuzi anayo hivi umeshawahi kuliona tako la pundamilia wewe? Sasa tako la pundamilia utalifananisha na sura ya mbuzi? Mwanamke sura babu weee tako hata pundamilia analo.

Basi hapa kama nawaona wale wazee wa kukariri mambo watahisi kuwa nina sura nzuri halafu tako dogo eti kwa sababu tu niko upande wa wanawake wenye sura nzuri na matako madogo. Yaani bongo ukitetea vilema na wewe unaonekana kilema. Haya bwana ila hii ni Jamii Forums tu ndugu zangu.
 
umetisha sana
 
Dogo kipepe umekuja kwa kasi saana hapa jamvini.. Vip una ajenda gani?
 
Back
Top Bottom