Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

Inshort !!
Thamani ya mtu huwezi kuilinganisha na kiasi chochote cha pesa
Alitambua uhalisia na thamani yake mapema
Na Roho mtakatifu hakuwa nyuma kumsaidia
Wapo wanawake ambao wanamaamuzi juu ya maisha yao. Ukute Don alikua mume wa mtu. Kuna wanawake hawawezi date na mume wa mtu hata iweje.
 
Nimeingia bila kuangalia nani kaanzisha uzi. Hii yote ni huu muonekano mpya ndo umesababisha.
 
Unamuongelea Rose shaboka?
 
Wachungaji wa mchongo tu hao, milion 100 cash iko kwenye account harafu aikatae aseme siitaki anairudisha kisa mbususu.
 
Huu uzi bila picha ni ngumu kusadiki, sura, shepu nk lazima tuzipime hapa ndipo tukubaliane kama ni mrembo kweli na alimkataa mamilioni.

Tuma picha ya mama mchungaji tumwone alivyo
 
Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Unafikiri siku hizi watu wanaogopa kusema uongo madhabahuni? Mpaka baadhi ya wachungaji wanasema uongo. Mfano Gwaji boy anadanganya anafufua watu lakini siku aliyokufa mama yske akawa kimya! Kuna mtu asiyempenda mama yake kwa nini hakumfufua?
 
Mkuuuu est.africa milioni mia hakuna anaeikataa
 
Labda ni 100K na sio 100M.

We unaijua 100M wewe?!
 
Beautiful woman is another man play things ….oooh it’s not easy to understand it….

Never ever trust a beautiful women words…
 
Hv mna matatizo gani ninyi walokole? Kwa hyo nawe umemuamini milioni mia yaani mia sijui mnawachukuliaje hao wachungaji wenu yaani mnawaona malaiiiiika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…