Duuuuh! Wewe ni mchawi?Unamuongelea Rose shaboka?
Unaambiwa slipigwa biti sio la nchi hii, akaambiwa afunge domo lake ndo akaambiwa cha kufanya akiwa mbeyaHata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
Source? Hakuna taarifa ya kweli inayopatikana hovyo kiasi hicho.Unaambiwa slipigwa biti sio la nchi hii, akaambiwa afunge domo lake ndo akaambiwa cha kufanya akiwa mbeya
Ulipaswa uandike 'How this universe.....'You're too young to understand how this universal works..
HahahahaaaaaHata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
Thanks you for your concern.Ulipaswa uandike 'How this universe.....'
You ate welcomeThanks you for your concern.
Si muandikage tu kiswahili au nasema uongo anko mushobozi?You're too young to understand how this universal works..
Hizo ni porojo tu za wafanyabiashara wa makanisaHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
English and Swahili language are officially used in our government. It's the choice of person to use any of those languages based on how comfortable he is.Si muandikage tu kiswahili au nasema uongo anko mushobozi?
Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.