Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

Hata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
Unaambiwa slipigwa biti sio la nchi hii, akaambiwa afunge domo lake ndo akaambiwa cha kufanya akiwa mbeya
 
Mbwa tu
Sasa anatoa papa bure wakati amekataa 100m kwa bao moko tu?
 
Kati ya maneno 10 ya watumishi wa bwana,wewe unaweza chukua 1 tu,au ikiwezekana usichukue kabisa,hasa zile zinazoitwa shuhuda...
 
Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.

Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.

Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,

Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.

Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.

Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Hizo ni porojo tu za wafanyabiashara wa makanisa

Ikiwa umefikia hatua ya kuamini maneno ya hao so called mitume na manabii basi fahamu maisha yako yanaenda kuharibika
 
Si muandikage tu kiswahili au nasema uongo anko mushobozi?
English and Swahili language are officially used in our government. It's the choice of person to use any of those languages based on how comfortable he is.
 
Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.

Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.

Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,

Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.

Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.

Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.

Na wewe umemwamini? Nilifikiri ni wewe umempa milioni 100 amekataa...

Sasa mpe laki uone kama hutakula mzigo
 
Back
Top Bottom