Ndio maana unajiita kinyamkela mahabaHow? I am 28.
Wewe ni ke au me? Unawezaje kuamini kirahisi maneno ya kuambiwa, tena mhusika mwenyewe ndiye anayekusimulia eti alikataa 100M!! Milioni 100 unaijua kweli wewe? !!Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Hahahahaha.......unachekesha sana wewe. Unacheza na binadamu wewe eti enh? Binadamu anazini madhabahuni, we unamuamini kisa tu kasema uongo madhabahuni! Utaamini kila kitu Wallah!!Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Huna hata haya, unapata ujasiri wa kuuchezea uchi wa mjomba 'ako?Ulipaswa uandike 'How this universe.....'
You could at least mind your grammar in your petty, meaningless comment 😟English and Swahili language are officially used in our government. It's the choice of person to use any of those languages based on how comfortable he is.
sio kweli mkuu, Waziri Kassim hakuwa mazabahuni, ingawaje alikuwemo ndani ya jengo takatifu la MsikitiHata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
Wewe kweli ni kinyamkelaYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Epuka matapeliHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
after God fear women!!! huwajui wanawake weweHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
kumbuka mwanamke ndiye aliyeonana na shetani live..kipnd cha adamuYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Wewe unafikiri asipokuaminisha hivo sadaka Yako ataipataje. Mwambie aache uongoHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Acha kuzidi kutuaminisha uongo.Inshort !!
Thamani ya mtu huwezi kuilinganisha na kiasi chochote cha pesa
Alitambua uhalisia na thamani yake mapema
Na Roho mtakatifu hakuwa nyuma kumsaidia