Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

Makanisa ya siku hizi bwana! So kanisani mtu anapanda madhabahuni anaelezea alivyokuwa anatongozwa!
 
Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.

Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.

Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,

Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.

Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.

Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Wewe ni ke au me? Unawezaje kuamini kirahisi maneno ya kuambiwa, tena mhusika mwenyewe ndiye anayekusimulia eti alikataa 100M!! Milioni 100 unaijua kweli wewe? !!
 
Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Hahahahaha.......unachekesha sana wewe. Unacheza na binadamu wewe eti enh? Binadamu anazini madhabahuni, we unamuamini kisa tu kasema uongo madhabahuni! Utaamini kila kitu Wallah!!
 
Uyo alikataa kwa sababu alijua hakuna wa kumpa ela iyo ,
 
English and Swahili language are officially used in our government. It's the choice of person to use any of those languages based on how comfortable he is.
You could at least mind your grammar in your petty, meaningless comment 😟
 
Hata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
sio kweli mkuu, Waziri Kassim hakuwa mazabahuni, ingawaje alikuwemo ndani ya jengo takatifu la Msikiti
 
Habari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.

Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle. Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.

Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,

Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.

Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.

Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Epuka matapeli
 
after God fear women!!! huwajui wanawake wewe
 
Wewe unafikiri asipokuaminisha hivo sadaka Yako ataipataje. Mwambie aache uongo
 
Back
Top Bottom