Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi bila picha ni ubatili mtupuHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.
Huyu ni binti mweupe, mrefu na mwenye shape yake, ni mzuri kiukweli, tena sana kwenye kila angle.
Kikubwa ni binti asiyeringa na hana majivuno, kuanzia kwenye kuongea na watu mpaka maisha yake kwa ujumla.
Sasa lililonishangaza na kuamini kuna wanawake warembo wana misimamo ni hili,
Anasema alipokuwa chuo kikuu(UDSM) alipata usumbufu mno kutoka kwa Wahadhiri wake, sana. Pia baada ya kumaliza na kuanza kazi ofisini alisumbuliwa mno na mabosi na watu wazito baadhi wa nchi hii.
Anasema alikataa ofa ya 100m TZS kwa wakati huo ili akubali ku date na don fulani. Hapa ndipo pamefanya nimpe credits 98% mrembo huyu.
Aisee kuna warembo hawanunuliki kwa chochote.
Still young but one day you'll find why?How? I am 28.
Na asipokaa vizuri anachezea risasi 7Halafu badae anakuja liwa na shamba boy kirahisiii
Au niwewe ndy ulikataa ofa ya M100 mbona unakomalia sana MkuuALIKATAA OFA YA 100M
Usiwaamni binadamuYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
???Yes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Madhabau gani ayo yaweza kua niyale ya kina mwamposa..hayana nomaYes, aliyaongea hayo eneo takatifu tena madhabahuni kabisa.
Tushazoea hizo kauli, bila million 100 siolewi. Hakuna jipyaHabari, leo nilitembelea moja ya makanisa ya kiroho hapa Dar. Ibada ilikwenda vizuri ila mwishoni mama mchungaji ambaye ni binti wa miaka kati ya 30-32 alitoa neno.