Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Imewahi kunicost hii ishu sitaki hata kusikia
Iko hivi Mwak 2014 tumefunga chuo nimeenda kutembea njombe kufika kule siku ya pili yake kuna nyumba ya jirani pia alikua kaja mdada mrembo hatari yani amekamilika full. Basi mwenyeji wa huyo dada alikua na duka anauza vinywaji tukaenda hapo na mwenyeji wangu.
Yule dada mgeni akanielewa bana akawa ananiangalia sanaaa mwishoe akaja akakaa karibu yangu nikajiongeza tu huwa situmii kilevi so nikamnunulia soda pale badae nikaomba kuondoka nae akakubali nikasema leo nimeona mwezi lakini dada yake akawa hataki niondoke nae ikabidi azuge atoroke nikaomba condom kwa mwenyeji wangu akaniambia fala wewe mtoto mzuri hivi kondom ya nini?? Nikaona kweli nikaenda kula KAVU siku mbili mbele nikaanza kukojoa usaha kudadeki nilichanganyikiwa sana.
Nikaenda hospital Dr akaniambia usiogope ni mkojo mchafu nikaona kanidanganya nikapewa dawa nikapona.
Mpaka leo sijawahi lala na mrembo kama yule lakini nawaogopa sana huo mwaka nilipima sana mara 4 nzima kwa uoga. [emoji23][emoji23]