Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
life is very unfair.
Mshahara laki na nusulife is very unfair.
Unaishi Kisemvule unapika mghahawa Masaki.
Unaamka saa tisa kuwahi kuchoma mandazi, unatoka saa mbili usiku na unafika home saa tano.
alafu nusu ya bando lake anatumia kuangalia Simba na Yanga kwenye instagram.Mshahara laki na nusu