Kuna wasioweza kugegedana hadi waangalie picha za x

hao / huyo atakuwa na tatizo...either hana feelings na mwenzie (upendo wa kweli) au ni tatizo wanatakiwa wakamuone doctor...au mwanasaikolojia akiongea nae na akaweza kufuata anavyomwambia atarudia katika hali nzuri..

Tatizo wengi tukiwa vijana tunabalekh au kuvunja ungo tunaiga vitu ambavyo baadae vinatuletea madhara...ila wkt mwingine vinarekebishika
 
Maisha ya sasa kila mtu kapoteza maadili kwa namna yake heshima na usiri katika ndoa mahusiano ya kimapenzi hakuna kabisa mtu mwanamke /mwanaume anaelezea mambo ya mwenzi wake hadharani pasipo haya Mungu atusaidie tu kwakweli
 
Wakati mwingine watu unao waeleza wanakuchora tuu na kukudharau tubadilike jamani
 
Shem wako labda ilikuwa kawaida yake tangu alipopevuka mwendo ndio huo, nafikiri itakua imeshamuingia akilini. Kwa sasa naweza sema anasumbuliwa na matatizo ya kisaikolojia
 
huyo dadako nae mmhh. Sasa kwa nini akwambie mambo ya ndani kwake?
Hajapata somo nini wakati anaolewa.
 
mwanaume wa hivyo ni mpenda punyeto au tayari ni mcameroon...

dada ako mpe pole ni sawa yupo na wanamke mwenziwe

Ichana Hapa unaua kwa kusudi,Ina maana wewe ukiangalia porn unaeza ukam-do demu mwenzio?
 
Jamani sio utani ni kama mfano wa dada angu kwa mujibu wake anasema mumewe hawezi kugegeda nae hadi akiangalia movie za X ndo zinamshtua hivi je, kweli swala hili lipo.

Kwawale wakubwa tukutane jlw tukajinafasi

Hivi hilo jukwaa la wakubwa, linapatikana wapi. Tuelekezane bandugu.
 
na hata akiweza kugegeda anaishia bao moja tu halafu anaelekea ukutani utafikiri fundi rangi.yetetetetere
 
mambo hadharani...naww umekuja ku ya anika ya dada yako..kwel ww ibilisi
 
Hapana ww wangap wanaomba ushaur yawezekana ushaur wako utamsaidia kama ni kutoa siri zao
basi weng humu siri ziko hadharan ndo mana kila m2 ana ID fake
 
Jamani sio utani ni kama mfano wa dada angu kwa mujibu wake anasema mumewe hawezi kugegeda nae hadi akiangalia movie za X ndo zinamshtua hivi je, kweli swala hili lipo.

Kwawale wakubwa tukutane jlw tukajinafasi
Ndio tupo
 
I feel like ni udhaufu wa dada yako. Kama anaweza kustimulate kwa porns, physical stimulation toka kwa dada yako lazima ingework fast than that
[emoji419][emoji419][emoji375]
 
Wengine hadi wafanye threesome's sex ndo wanapata hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…