illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 699
hao / huyo atakuwa na tatizo...either hana feelings na mwenzie (upendo wa kweli) au ni tatizo wanatakiwa wakamuone doctor...au mwanasaikolojia akiongea nae na akaweza kufuata anavyomwambia atarudia katika hali nzuri..
Tatizo wengi tukiwa vijana tunabalekh au kuvunja ungo tunaiga vitu ambavyo baadae vinatuletea madhara...ila wkt mwingine vinarekebishika
Tatizo wengi tukiwa vijana tunabalekh au kuvunja ungo tunaiga vitu ambavyo baadae vinatuletea madhara...ila wkt mwingine vinarekebishika