Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Retired mwangalieni humu JF huyu dogo Malaria 2 naye ana maumivu makubwa sana. Haaamini macho yake. Ukimsoma unamwona amekonda na kunyorodoka. Sura imejikunja ana wivu,chuki ,hasira na njaa...haamini kama mtu aliyempenda kufa si mwenyekiti tena wa Chadema. Haamini. Anatembea anatema mate tu huku ameshika kopo la blueband.
Watu wa karibu yake wanasema afya yake imedhoofika sana. Anasonya kila wakati na akimwona Lissu anatema mate. Mentally hayupo sawa kabisa. Yeye na @Malaria2 wana hali mbaya sana. Wapo katika siku mbaya za miezi wakati wote.
Hawa jamaa kila siku wakikaa ni kuangalia Lissu kafanya nini waje wapost. Ni kukumkumbuka Mbowe na kukosoa Cdm. Yaani kwa sasa retired ni mkosoaji wa CDM kuliko hata CCM. ANA CHUKI,WIVU,HASIRA,KISASI,NJAA,MAUMIVU,STRESS,MAGONJWA etc.
Ameshindwa ku move on. Huwa nawashauri madogo muache kutegemea wanaume wenzenu. Tafuteni namna ya kuishi. Matokeo yake mnakuwa frustrated this much. Kama wanawake waliotelekezwa na ujauzito. Maisha lazima yaendelee. Mkubali matokeo. Kwa sasa mwenyekiti wa CDM NI TUNDU A. LISSU.
MBOWE MFANYENI MWENYEKITI WENU NA FAMILIA ZENU.
KUTOKA USA NIKILA BATA
MBOLEA YA MINJINGU