Kuna watu bado hawaja recover, Hawamini macho yao. Wanaugua Mioyoni mwao

Africa ni vigumu kuendelea kama watu wake kila siku siasa zao ni za kuangalia watu, si za kuangalia sera.
 
Atakoma alizoea vya kudoea huyu mjinga, Lisu ndiyo habari ya mjini, wasalimie Mdori, Nkaiti na Kibaoni kamanda
Na atakuwa habari ya mjini zaidi siku anapata escort ya balozi Beberu anamsindikiza Airport kukimbilia Ubeligiji.
 
Adui wa CHADEMA ni CCM. Unachofanya ni kulazimisha bifu kati ya CHADEMA na CHADEMA hata kama halipo. Yaani siku zote zilizopita tangu uchaguzi uishe, umekaa unachunguza sura za watu ili tu kuona kama zina huzuni?

Tufanye kazi za kuingiza vipato.
 
Mkuu acha waugulie. Unajua Mbowe alikuwa ana uhakika wa 100% kuwa atashinda. Na akawaaminisha hawa wafuasi wake kuwa watashinda. Kla kitu kilikuwa upande wao. Dola, CCM na fedha kibao. Walihonga wakajiaminisha kuwa ushindi mnono ni wao. Hawakuamini mambo yalivyogeuka. Hata Mbowe kubaki mpaka mwisho na kuonyesha kama amekubaliana na matokeo kwa furaha ni kwa nje tu. Ndani alikuwa anaugulia mno. Kumbuka alishanunua na ofisi kwa kudhani kuwa yeye ndiye ataitumia. Kusema kweli kama kuna sehemu mtu unaposema kuwa kuna mkono wa Mungu, basi ni hapa. Rushwa plus Samia walishindwa na haki plus wananchi.
 
Narudia tena, ni suala la muda tu kabla mshamba flani hajatema au kutemeshwa bungo!!
Hatimaye umerudi jukwaani!
Yule aliyekuwa anaandika kuwa hakuna wa kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti wa CHADEMA yuko wapi!!??

Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu.
 
Hatimaye umerudi jukwaani!
Yule aliyekuwa anaandika kuwa hakuna wa kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti wa CHADEMA yuko wapi!!??

Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu.
Uko sahihi, Kwakweli wewe umelaaniwa sababu unamtegemea lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…