Kuna watu bila siasa watakufa njaa

Kuna watu bila siasa watakufa njaa

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa:
1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha
2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono.
3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana maisha.
4. Wengine ongezea na wewe ....
 
Niliwahi kushauri huko nyuma UDSM inabid ibadilishe course zake au laah kama imeshindikana ni muda wa kuwekeza nguvu nyingi SUA. UDSM imekuwa kinara wa kuleta product zake mtaani ambazo ni wanasiasa tu hakuna cha product za maana kama SUA bad enough serikali inazidi kuwekeza nguvu UDSM ndo maana hatuendelei kazi kuzalisha mabingwa wa porojo tu
 
Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa:
1. Nape Nnauye - huyu bila siasa hana maisha
2. Yusuph Makamba - mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono.
3. Humphrey Polepole - huyu jamaa bila porojo za siasa hana maisha.
4. Wengine ongezea na wewe ....
Leprofesorer a. k. a mzee wa Buguruni
 
Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa:
1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha
2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono.
3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana maisha.
4. Wengine ongezea na wewe ....
Umemsahau Mmawia mkuu. Yule jamaa yuko tayar kwa lolote hata kumpigia mwenyekiti kiwi kwa njia ya ulimi ilimradi mkono uende kinywani. Fikiria unaweza kuanzisha thread yako inayohusu mwenyekiti, lkn akauteka uzi wako na kuchangia yeye tu uzi mzima.

images (38).jpeg
 
Nape baba lao,liliramba miguu ya Jiwe ili liendelee kula,leo tena limejigeuza semaji la chama ili mkono uedelee kwenda kinywanu.
 
Alama ipi zaidi ya kujali matumbo yao
Wanasiasa wote nchi wanajali matumbo
Yao

Ova
Tumikia nchi yako pale ulipo acha husuda husuda na chuki chuki plus ulimbukeni. Waziri kutumia lile gari au nyumba ya serikali unaona tabu? Tafuta pesa na uwe serious na maisha Mungu atakupa. Hizo facilities wanatumia kama mali ya serikali wakistaafu wanaziachamaisha yanaendelea
 
nchi huru

waache watu wafanye their own decisions for themselves

ilimradi hawajavunja sheria

hii kumsema mtu mmoja mmoja ni nonsense...cha kufanya ni kujenga Katiba yenye kuwanyang'anya madaraka na kuyarudisha kwetu kwa asimilia kubwa

Kila mtu awe na maisha yake afanye decisions zake kwa faida yake bila kuumiza wengine

siasa imekua too lucrative huku kwetu ndio maana kila mtu anaigombania aweze ku-rule over other human beings and to tell them what to do and pass favours for himself and his cronies to enjoy their life luxuries

Solution hapa ni kuyapunguza kwa asilimia kubwa kiasi kwamba kama mtu anaingia kwa mawazo ya ku-enrich themselves iwe ni hasara kwao

hii kufata kimtu kimoja kimoja ni kama witch hunting hivi.....cut all the system and people will be levelled up!
Paul Makonda
 
Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa:
1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha
2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono.
3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana maisha.
4. Wengine ongezea na wewe ....
unafikiri DAB huko aliko anaishi kwa raha?
 
Back
Top Bottom