Kuna watu bila siasa watakufa njaa

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa:
1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha
2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono.
3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana maisha.
4. Wengine ongezea na wewe ....
 
Niliwahi kushauri huko nyuma UDSM inabid ibadilishe course zake au laah kama imeshindikana ni muda wa kuwekeza nguvu nyingi SUA. UDSM imekuwa kinara wa kuleta product zake mtaani ambazo ni wanasiasa tu hakuna cha product za maana kama SUA bad enough serikali inazidi kuwekeza nguvu UDSM ndo maana hatuendelei kazi kuzalisha mabingwa wa porojo tu
 
Leprofesorer a. k. a mzee wa Buguruni
 
Umemsahau Mmawia mkuu. Yule jamaa yuko tayar kwa lolote hata kumpigia mwenyekiti kiwi kwa njia ya ulimi ilimradi mkono uende kinywani. Fikiria unaweza kuanzisha thread yako inayohusu mwenyekiti, lkn akauteka uzi wako na kuchangia yeye tu uzi mzima.

 
Nape baba lao,liliramba miguu ya Jiwe ili liendelee kula,leo tena limejigeuza semaji la chama ili mkono uedelee kwenda kinywanu.
 
Alama ipi zaidi ya kujali matumbo yao
Wanasiasa wote nchi wanajali matumbo
Yao

Ova
Tumikia nchi yako pale ulipo acha husuda husuda na chuki chuki plus ulimbukeni. Waziri kutumia lile gari au nyumba ya serikali unaona tabu? Tafuta pesa na uwe serious na maisha Mungu atakupa. Hizo facilities wanatumia kama mali ya serikali wakistaafu wanaziachamaisha yanaendelea
 
Paul Makonda
 
Watu mnajisahau sana na hii mishahara yenu. Unadhani rizki ya mtu unatoa wewe? Hao unaowasimanga wanazo alama katika nchi wewe umefanya kipi? Tiacheni contribution zenye husda
John Mnyika
 
unafikiri DAB huko aliko anaishi kwa raha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…