Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa haya maisha sitaki kutapika kabisaNikupe dawa ya kutapika ili ujue kutapika sio?
Hahahahahah.....Kwa haya maisha sitaki kutapika kabisa
Mimi nikila pilau ama biriani sinawi wiki nzima nahofia kushikwa na njaa.Kama Mimi kuna jamaa zangu mmoja hawezi kula ndizi mbivu anahisi atatapika, mwingine huyo anasema akila wali na soda basi lazima arudishe basi fuluuu raha unakuta mimi nafurahi kweli nasombelea tu,
Ila mimi sasa nikila samaki na chai hapo naweza kutapika vyote maana nahisi kichefuchefu na mimi ni Mwanaume 😜😁 maana najua kuna watu humu watakuja na yao,
Ebu tuelezane wewe naona ukichanganya chakula gani na gani basi havitaki kukaa tumboni.
🤦🤪🏃
Nshakula hyoo na sikutapika ila kiukweli inafanya kinywa kitoe harufu mbovu sanaTafuna dagaa wakavu kisha kula karanga mbichi (i.e. kavu lakini hazijakaangwa) uone habari yake. Hii ni universal, haichagui. Kila mtu lazima chenji irudi.