Kuna watu bwana vyakula vingine hawawezi kula au kuchanganya anahisi atatapika

mimi natapika pombe ikizidi Basi vingine tushawaachia wanaume wa Dar
 
Wabongo kwa kujidekeza hamjambo....mimi labda ninywe sumu ndiyo naweza kutapika.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]hao jamaa zako itokee siku moja wamepata njaa na hakuna chakula kingine zaidi ya icho wanachojifanya hawapendi,,,,nakwambia watakula tena vzr tu
 
Mimi nikila pilau ama biriani sinawi wiki nzima nahofia kushikwa na njaa.
 
Tafuna dagaa wakavu kisha kula karanga mbichi (i.e. kavu lakini hazijakaangwa) uone habari yake. Hii ni universal, haichagui. Kila mtu lazima chenji irudi.
Nshakula hyoo na sikutapika ila kiukweli inafanya kinywa kitoe harufu mbovu sana
 
Mie kutapika ngumu.
Ila Utumbo, Kongoro, Sijui Kitabu, Kichwa hata kwa dawa sili. Yaani nilishindwa toka utotoni kwa mujibu wa mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…