Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mbon polisi wamsema hawajapokea taarifa yoyote ya hiyo ajaliNasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali.
Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani.
Na kama aliuawa kwenye ile ajali Kuna watu wamejitolea kugharamia mazishi yake kwa hoja kuwa mashujaa hawaliwi bali huzikwa kwa heshima zote ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Lakini habari za chini chini kutoka Katoro kuwa kuna tajiri mmoja mmliki wa Ng'ombe kasema kama yule Ng'ombe yupo hai basi yeye atabadilishana na mmiliki wake Ng'ombe mmoja kwa Ng'ombe wake mia Moja.
Msukuma huyo "chapa ya Ng'ombe" amesikia akisema kuwa ni heri kuwa na Ng'ombe mmoja mpigana vita kuliko kuwa na Ng'ombe mia wala majani wasio na faida.
Ndiyo... Lakini hiyo haimaanishi kuwa haikutokea.Mbon polisi wamsema hawajapokea taarifa yoyote ya hiyo ajali
Madaktari wa Mifugo tunawaombea Mungu awape kibali na moyo wa kumtibia.Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali.
Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani.
Na kama aliuawa kwenye ile ajali Kuna watu wamejitolea kugharamia mazishi yake kwa hoja kuwa mashujaa hawaliwi bali huzikwa kwa heshima zote ili iwe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
Lakini habari za chini chini kutoka Katoro kuwa kuna tajiri mmoja mmliki wa Ng'ombe kasema kama yule Ng'ombe yupo hai basi yeye atabadilishana na mmiliki wake Ng'ombe mmoja kwa Ng'ombe wake mia Moja.
Msukuma huyo "chapa ya Ng'ombe" amesikia akisema kuwa ni heri kuwa na Ng'ombe mmoja mpigana vita kuliko kuwa na Ng'ombe mia wala majani wasio na faida.
Maombi kwa madakari na mfungo wa tatu kavu kwa Ng'ombe ni muhimu sanaMadaktari wa Mifugo tunawaombea Mungu awape kibali na moyo wa kumtibia.
Ni vyema tujifunze kulinda haki za wanyama
Ila watu mna vituko sana.Jambo kama hilo liliwahi kumtokea Mwigulu Nchemba Madelu alipomgonga punda kule Dodoma.Acha nchi ichemke tu.Tumuombee ng'ombe afya njema
Ila watu mna vituko sana.Jambo kama hilo liliwahi kumtokea Mwigulu Nchemba Madelu alipomgonga punda kule Dodoma.Acha nchi ichemke tu.
Watu hawachelewi aisee🤣