Kuna watu hata kama umemsemehe husiwarudishe au kua karibu nao katika maisha yako utaepuka mengi

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
Usijifanye kua mwenye huruma kuliko Yesu au Nabii wa Mungu kuna watu Mungu amekuepusha usiwe nao katika maisha yako watakufanyia makubwa zaidi na walio kutendea mwanzoni, jifunzeni kukinai bila kutumia chuki.

Watu wengi wamekufa au kufilisiwa mali baada ya kujifanya wana huruma wa kusamehe na kurudiya wabaya wao hilo ni hateri hasa kwa wanaume "learn to for give but not to forget" machozi ya mpezi wako alie jarabu kukuua, au kukupeleka jela ya sikutengue na kumsamehe huyu ni shetani alie shindig jaribio lake.
 
Mkuu nimetoka na kitu hapa
 
Shalom Shalom 🙌
 
Huu ndo ukweli,usimuweke karibu tena mbaya wako hata kama anaonesha kujirudi kwa namna gani.

Hii ndo formula yangu siku hizi, tena nipo makini sana nayo nisije nikajisahau hata kidogo.
 
Mungu husamehe dhambi na makosa yetu na kuyasahau kabisa. Nasi twapaswa kufuata mfano wake.

Hekima ya ulimwengu ni hivyo msemavyo ila hekima ya Mungu ni kumsamehe aliyekuudhi na kusahau.
 
Kwani wewe unataka kujilinganisha na Mungu mkuu
 
you can forgive some people,
without welcoming them back into your life,

Apology accepted,access denied.
 
Back
Top Bottom