Kuna watu hawakai na hela maana hata wakizipata wanazitafutia matumizi

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Uswahilini huku na uzaramoni watu wana nongwa balaa!

Hii aina ya watu nimekuja kujionea mwenyew mana nilikuwa nasikia sikia tu kwa watu. Wengine wanasema ni bipolar.

Ila sifa kama hizi niliwah kumuona mzee wangu kipindi nasoma chuo, bum likisoma nampa mpaka laki 1 imsaidie kwenye mambo yake. Cha ajabu nampa hela anafunga biashara hata kama saa 6 mchana anaondoka.

Ikija kupita siku 4 mbele anakupigia simu utume hela ya kula nyumbani.

Kumbe nampa hela hapohapo anaweka nyimbo ya Q chilla anajiliza kwelikweli na anaona anafaa kabisa kusaidia wenzake wapate hela ya kula.

Nyimbo ile ya ninachokipaataaa eeeh nagawana na wenzangu! Masikini zaidi yangu! Walopoteza wazazi wao kwa sabu ya ukimwi.

Yani akipata hela muda huohuo anaiona tajiri anatafuta masikini awasaidie. Siku 4 mbele hana mia mbovu ndo anakumbuka kuwa na yeye ni masikin

Kuna watu kadri kipato Chao kinavyoongezeka na matumizi yao yanaongezekq bila sababu. Yani kama hajawahi kupata milion 5 siku atakayoipata itamuwasha tu, hata mswaki anaosafishia kinywa anaona haufai alikuwq anajinyanyasa.

Mara oooh! Nimelogwa hela hazikai..
Kalaga baho
 
mbona unanisema mimi kaka
 
Ni Kama Mimi mshahara ukiingia nakuwa Kama sijielewi ,ndani hapakariki Mara kila ninayekutana naye nahisi sio hadhi yangu yaani tafrani ilimradi niende mjini niinywe yote ndiyo nikumbuke kumbe inabidi nirudi kazini
Ukiwa na laki tu mfukoni keep change kibao mana kila mtu unatamani umsaidie wewe. Mara upige simu kwa ndugu kuuulizia kama wamekula au la
 
Ni Kama Mimi mshahara ukiingia nakuwa Kama sijielewi ,ndani hapakariki Mara kila ninayekutana naye nahisi sio hadhi yangu yaani tafrani ilimradi niende mjini niinywe yote ndiyo nikumbuke kumbe inabidi nirudi kazini
nacheka kama mazuri lkn dah wiki hii nimepata milion 7 kwanza nmepiga mademu wote wasumbufu walionikataa
 
Back
Top Bottom