Kuna watu hawakai na hela maana hata wakizipata wanazitafutia matumizi

Kuna watu hawakai na hela maana hata wakizipata wanazitafutia matumizi

wenye uzoefu tpeane hapa ukipata ela gafla tunapaswa tufanye nini??
Hela mzee inaletaga kizungu zungu sana, kichwa mda wote cha moto vyakula vizuri unavitaka wew na kila ulichokikosa ukiwa hauna hela unatak ukipate.

Mm nadhani ni vizur kuwa na plan ya miaka mitano mbele inayoweza kuvunjika vunjika kwa kipindi cha mwaka mmoja mmoja. Kuna watu wana plan za biashara za milion 100 tu, huyu hata ukimpa milion 10 sahiv anaweza asijue cha kuifanyia. So kuwa na break ya vitu vikubwa to minimalist point inafaa sana.

Hivi ile spend to save ya nmb inafanyaje kazi?
 
Sahi
Oa Mkuu, ulifanya uamuzi mzuri kununua kiwanja maana biashara nazo kuna muda ni kifua kikuu
Sahiz najichanga mzee kupata mtaji, kuna kipindi nilitamani mpaka kupauza kule. Maisha bado yana changamoto ila huh ugomjwa toka nipate scarce ya hela na umepungua kwa kias kikubwa. Ila nina imani wengi sana wanasumbuliwa nao huu
 
Uswahilini huku na uzaramoni watu wana nongwa balaa!

Hii aina ya watu nimekuja kujionea mwenyew mana nilikuwa nasikia sikia tu kwa watu. Wengine wanasema ni bipolar.

Ila sifa kama hizi niliwah kumuona mzee wangu kipindi nasoma chuo, bum likisoma nampa mpaka laki 1 imsaidie kwenye mambo yake. Cha ajabu nampa hela anafunga biashara hata kama saa 6 mchana anaondoka.

Ikija kupita siku 4 mbele anakupigia simu utume hela ya kula nyumbani.

Kumbe nampa hela hapohapo anaweka nyimbo ya Q chilla anajiliza kwelikweli na anaona anafaa kabisa kusaidia wenzake wapate hela ya kula.

Nyimbo ile ya ninachokipaataaa eeeh nagawana na wenzangu! Masikini zaidi yangu! Walopoteza wazazi wao kwa sabu ya ukimwi.

Yani akipata hela muda huohuo anaiona tajiri anatafuta masikini awasaidie. Siku 4 mbele hana mia mbovu ndo anakumbuka kuwa na yeye ni masikin

Kuna watu kadri kipato Chao kinavyoongezeka na matumizi yao yanaongezekq bila sababu. Yani kama hajawahi kupata milion 5 siku atakayoipata itamuwasha tu, hata mswaki anaosafishia kinywa anaona haufai alikuwq anajinyanyasa.

Mara oooh! Nimelogwa hela hazikai..
Kalaga baho
Siku moja bhana nikaenda kwny sherehe 🤣bas nikanywa nikalewa chakari watu wakaanza kuniita "gavana gavana 🤣Duh nikamtunza wenye sherehe yote asubuhi nilijuta kulewa
 
Sahi
Sahiz najichanga mzee kupata mtaji, kuna kipindi nilitamani mpaka kupauza kule. Maisha bado yana changamoto ila huh ugomjwa toka nipate scarce ya hela na umepungua kwa kias kikubwa. Ila nina imani wengi sana wanasumbuliwa nao huu
Huo ugonjwa ni wa wengi wenye ndoto za kufanya makubwa, tatizo ni pesa mkuu.
 
Back
Top Bottom