Sahihi kabisaKuna watu kadri kipato Chao kinavyoongezeka na matumizi yao yanaongezekq bila sababu. Yani kama hajawahi kupata milion 5 siku atakayoipata itamuwasha tu, hata mswaki anaosafishia kinywa anaona haufai alikuwq anajinyanyasa.
Hela mzee inaletaga kizungu zungu sana, kichwa mda wote cha moto vyakula vizuri unavitaka wew na kila ulichokikosa ukiwa hauna hela unatak ukipate.wenye uzoefu tpeane hapa ukipata ela gafla tunapaswa tufanye nini??
Mkuu mwka jana nilichagua kununua kiwanja over kufanya Biashara mana niliona dalili hizo. Nikahis hii hela haitakaa kila mdada mwenye trako likipita karibu nakumbuka ATM ilipoHii wengi tunaikumbuka tukiwa hatuna hela ila ukishaipata hukumbuki sijui n nini hutokea.
IRaha ya pesa uidumbue kisawasawa uwe na historia nayo.
Oa Mkuu, ulifanya uamuzi mzuri kununua kiwanja maana biashara nazo kuna muda ni kifua kikuuMkuu mwka jana nilichagua kununua kiwanja over kufanya Biashara mana niliona dalili hizo. Nikahis hii hela haitakaa kila mdada mwenye trako likipita karibu nakumbuka ATM ilipo
Sahiz najichanga mzee kupata mtaji, kuna kipindi nilitamani mpaka kupauza kule. Maisha bado yana changamoto ila huh ugomjwa toka nipate scarce ya hela na umepungua kwa kias kikubwa. Ila nina imani wengi sana wanasumbuliwa nao huuOa Mkuu, ulifanya uamuzi mzuri kununua kiwanja maana biashara nazo kuna muda ni kifua kikuu
Siku moja bhana nikaenda kwny sherehe 🤣bas nikanywa nikalewa chakari watu wakaanza kuniita "gavana gavana 🤣Duh nikamtunza wenye sherehe yote asubuhi nilijuta kulewaUswahilini huku na uzaramoni watu wana nongwa balaa!
Hii aina ya watu nimekuja kujionea mwenyew mana nilikuwa nasikia sikia tu kwa watu. Wengine wanasema ni bipolar.
Ila sifa kama hizi niliwah kumuona mzee wangu kipindi nasoma chuo, bum likisoma nampa mpaka laki 1 imsaidie kwenye mambo yake. Cha ajabu nampa hela anafunga biashara hata kama saa 6 mchana anaondoka.
Ikija kupita siku 4 mbele anakupigia simu utume hela ya kula nyumbani.
Kumbe nampa hela hapohapo anaweka nyimbo ya Q chilla anajiliza kwelikweli na anaona anafaa kabisa kusaidia wenzake wapate hela ya kula.
Nyimbo ile ya ninachokipaataaa eeeh nagawana na wenzangu! Masikini zaidi yangu! Walopoteza wazazi wao kwa sabu ya ukimwi.
Yani akipata hela muda huohuo anaiona tajiri anatafuta masikini awasaidie. Siku 4 mbele hana mia mbovu ndo anakumbuka kuwa na yeye ni masikin
Kuna watu kadri kipato Chao kinavyoongezeka na matumizi yao yanaongezekq bila sababu. Yani kama hajawahi kupata milion 5 siku atakayoipata itamuwasha tu, hata mswaki anaosafishia kinywa anaona haufai alikuwq anajinyanyasa.
Mara oooh! Nimelogwa hela hazikai..
Kalaga baho
Kuna nyakati za kiangaziKwa nn mkuu, una maana ni husda inap3lekea hela kuyayuka au nongwa zetu tu
Wakati mavuno geita, mtwara🤣mwaroni wavivu wa samaki ukereweKuna nyakati za kiangazi
Ukajiona GAVANA kabisa, mzee tupatupaSiku moja bhana nikaenda kwny sherehe 🤣bas nikanywa nikalewa chakari watu wakaanza kuniita "gavana gavana 🤣Duh nikamtunza wenye sherehe yote asubuhi nilijuta kulewa
Huo ugonjwa ni wa wengi wenye ndoto za kufanya makubwa, tatizo ni pesa mkuu.Sahi
Sahiz najichanga mzee kupata mtaji, kuna kipindi nilitamani mpaka kupauza kule. Maisha bado yana changamoto ila huh ugomjwa toka nipate scarce ya hela na umepungua kwa kias kikubwa. Ila nina imani wengi sana wanasumbuliwa nao huu
Sasa si unasubiri nyingine mwisho wa mwezi!Ili ikiisha usunbue ndugu na jamaa wakupe hela ya kula
I
Siku moja bhana nikaenda kwny sherehe 🤣bas nikanywa nikalewa chakari watu wakaanza kuniita "gavana gavana 🤣Duh nikamtunza wenye sherehe yote asubuhi nilijuta kulewa
Kusubir sio shida umejiandaaje na emergency na una umejipa uhakika gan wa kuishi bila kusumbua watu? Unanunuaga kiroba cha unga au mahitaji jumla jumla?Sasa si unasubiri nyingine mwisho wa mwezi!
Uliona sherehe yot3 umeinunua wewe?
hakika mkuusi wote wengine kinachoingia ni kidogo kinachotoka ni kingi