Kuna watu hawanuki mdomo kama panya

Sawa nimekuelewa vizuri mkuu
Amina, na jambo la mwisho zaidi usilale bila kupiga mswaki, maana wakati wa usiku ndio mabakteria yanashambulia mdomo kwa kasi ya ajabu. Ni hatari kubwa.

2. Kila unapotembea beba kachupa cha maji ukatilie chumvi uwe unayasukutua kiaina hivi.

3. Kama kuna maradhi ya tumbo, juisi ya limao kila siku asubuhi itakufaa sana. Na mchanyiko wa asali kidogo kama unaweza kupata.

Usiku mwema.
 
Kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo anashauriwa kutumia limao mkuu

Uwe na usiku mwema pia
 
hao wanaonuka labda wana ugonjwa flani wa kinywa
 
Kwa mtu mwenye vidonda vya tumbo anashauriwa kutumia limao mkuu

Uwe na usiku mwema pia
Asali ni nzuri zaidi kwa vidonda vya tumbo.

Vijiko hata vitatu vikubwa vya asali kila siku unapoamka kabla hujala kitu. Unakorogea kwenye kikombe cha maji.

Na usiku ukiwa unaenda kulala unapiga vijiko vitatu vikubwa vya asali vilivyojaa.

Nakwambia utapona!

Na unakunywa maji mengi haswaa, unakunywa kisawa sawa. Tumbo linakuwa safii kwa ndani.
 
Kunywa juice ya limao kila siku hata usipopiga mswaki mwezi huta toa arufu
 
Kunuka mdomo ni tatizo linalohitaji tiba au kubadili life style.
Mtu haupaswi kunuka mdomo. Ila kwa kuwa ni tatizo linalowapata wengi, basi watu wanachukulia kuwa kunuka mdomo ni lazima na asiyenuka ni muujiza.
Asante sana.
 
Hiyo, Ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine tumieni mouthwash(Hydrogenperoxide3%) unapigia mswaki kimfuniko kimoja asubuh na jion. Matokeo yanaonekana siku yakwanza tu, Asante
Inapatikana duka la madawa na bei yake je?
 

Wizo una madini ukiamua [emoji7][emoji7][emoji7]
Countrywide njoo umuone wizo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…