Deadbody JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 4,274 Reaction score 6,595 Sep 29, 2016 #1 Kuchunguza simu ya mpenz wako ni sawa na kumenya kitunguu.. hasa unapofika kwenye inbox lazima udondoshe choz kama hauna moyo mgumu. yan ukienda kwenye most used emoji ukikuta yamejaa makopa kopa .. ujue kuna mtu asiyependa ujinga anakusaidia
Kuchunguza simu ya mpenz wako ni sawa na kumenya kitunguu.. hasa unapofika kwenye inbox lazima udondoshe choz kama hauna moyo mgumu. yan ukienda kwenye most used emoji ukikuta yamejaa makopa kopa .. ujue kuna mtu asiyependa ujinga anakusaidia
mwanazuoni mgeni JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 1,944 Reaction score 1,726 Sep 29, 2016 #2 Hahahahahahaha