Kuna watu hawapendi ujinga kwa mpenzi wa mtu

Kuna watu hawapendi ujinga kwa mpenzi wa mtu

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kuchunguza simu ya mpenz wako ni sawa na
kumenya kitunguu.. hasa unapofika kwenye inbox
lazima udondoshe choz kama hauna moyo mgumu.
yan ukienda kwenye most used emoji ukikuta
yamejaa makopa kopa

.. ujue kuna mtu asiyependa
ujinga anakusaidia
 
Back
Top Bottom