Kuna watu hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face

Kuna watu hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face

Sasa ni tunagombana live??
Yaani akinishika tu na kunyonya lips nimelegeaa🤓🤓🤓 akinituliza kifuani vimachozi kwa mbaliiiiii....ugomvi umeisha naufuta na neno nakupenda 🫢
Hapana live siwezi
 
Na mkiona hamgombani hakuna mapenzi, reality sio tamthilia za kituruki, kutaka kusema huna wivu? Huna sku umeamka vbaya kisirani?
Ugomvi sio mapenzi jamani, huko ni kukosa maelewano.

Wivu sote tunao, ila tunaelewana na kuaminiana. Haiwezi kufikia hatua ya ugomvi.

Kisirani kila mtu anacho lakini tunaheshimiana, unawezaje kumletea mpenzi wako kisirani?
 
Ugomvi sio mapenzi jamani, huko ni kukosa maelewano.

Wivu sote tunao, ila tunaelewana na kuaminiana. Haiwezi kufikia hatua ya ugomvi.

Kirisani kila mtu anacho lakini tunaheshimiana, unawezaje kumletea mpenzi wako kisirani?
We unashindwaje kumletea
 
Ugomvi sio mapenzi jamani, huko ni kukosa maelewano.

Wivu sote tunao, ila tunaelewana na kuaminiana. Haiwezi kufikia hatua ya ugomvi.

Kirisani kila mtu anacho lakini tunaheshimiana, unawezaje kumletea mpenzi wako kisirani?
Mkuu unaishije na mtu muda mref ndani ya nyumba msipishane? Kuna ile mmoja ajishushe sku zote kuepusha mabalaa ila hata kununa? Kukwazika?? Come oon, kwan make up sex ilitokea wap mkuu 😁? Si kuchuniana kdogo ile mnakutana ni mme missiana kikweli kweli.
 
Back
Top Bottom