Kuna watu hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face

Kuna watu hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face

Unaambiwa huu mtaa wangu wanataka waandamane mana kila mtu anataka picha yako... Nawambia waka danlodi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtaa gani huo ... au wahuni wa Buza?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mtaa gani huo ... au wahuni wa Buza?
Buza tena wee mshenzi wa tabia kumbe....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi yenyewe live siwezi, na anajua kabsa kuwa kwenye simu ntamuua kwa ugomvi...

Yaani nikiona yale macho yake ile batani ya ugomvi haifanyi kazi
 
Sasa ni tunagombana live??
Yaani akinishika tu na kunyonya lips nimelegeaaπŸ€“πŸ€“πŸ€“ akinituliza kifuani vimachozi kwa mbaliiiiii....ugomvi umeisha naufuta na neno nakupenda 🫒
Hapana live siwezi
nlikuwaga na dem wa sample yako... siku alinifuma na dem mwngne geto, kajiliza weeee, bdae nkamkumbatia nikamfuta chozi nkampeleka dinner af usiku akanipa yote kama kawaida.
 
nlikuwaga na dem wa sample yako... siku alinifuma na dem mwngne geto, kajiliza weeee, bdae nkamkumbatia nikamfuta chozi nkampeleka dinner af usiku akanipa yote kama kawaida.
Huyo alikuwa anakupenda sana
My sis alimfumania mpenzwake na mwanamke Tena alianza kusikiliza tangu wanaanza πŸ˜ƒπŸ˜ƒhad wanamalizia ndo kaingia Cha ajabu akabembelezwa usiku ule ule nae akalala pale pale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii aina waende pepon kwa kwel. πŸ˜„πŸ˜„
 
Yani nisipodekezwa sisikii Raha hata kuwa na mwanaume hadeki kidogo ananikata stim napenda anitume tume 🀣🀣🀣
πŸ˜„ ooh... kile kisauti cha kuongelea chini ya koo kinanishindaga kiukwel
 
Kugombana live inahitaji moyo sana, akishasema tu β€œsasa mke wangu……” Ugomvi unaishia hapo hapo! 😊
Nyie ndo mnanitamanishaga kuolewa ila ukipita kwingine unakutana na habari za baltazar na masulia wake naamua kutulia kwanza πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Na hii mikono ilivyo migumu shemeji yenu hawezi upuuzi wa kugombana na Mimi
 
Back
Top Bottom