Man Middo tz
Senior Member
- Sep 9, 2020
- 182
- 279
Wa kike au wa kiumeKatika Mahusiano kuna wale ambao hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face,
Lakini linapokuja suala la sms, wanaweza kuandika kitabu.
Kwa hayo magazeti unaweza hisi ni mhariri wa mwananchiLakini linapokuja suala la sms, wanaweza kuandika kitabu
Kwa hayo magazeti unaweza hisi ni mhariri wa mwananchi
Na kwanini mgombane? Kama kuna shida si muongee yaishe?
Wapenzi hawagombani, wanaongea. Mkiona mnagombana kwenye mapenzi mjue mnafosi hayo mapenzi.
Sio kweli mwaya, wamekudanganya.Ukiona unaishi kwa amani kwenye hayo mahusiano jua wewe ni mchepuko wife material halali kwa amani huko
Maneno ya watu huko duniani
Na mkiona hamgombani hakuna mapenzi, reality sio tamthilia za kituruki, kutaka kusema huna wivu? Huna sku umeamka vbaya kisirani?Na kwanini mgombane? Kama kuna shida si muongee yaishe?
Wapenzi hawagombani, wanaongea. Mkiona mnagombana kwenye mapenzi mjue mnafosi hayo mapenzi.
Ugomvi sio mapenzi jamani, huko ni kukosa maelewano.Na mkiona hamgombani hakuna mapenzi, reality sio tamthilia za kituruki, kutaka kusema huna wivu? Huna sku umeamka vbaya kisirani?
We unashindwaje kumleteaUgomvi sio mapenzi jamani, huko ni kukosa maelewano.
Wivu sote tunao, ila tunaelewana na kuaminiana. Haiwezi kufikia hatua ya ugomvi.
Kirisani kila mtu anacho lakini tunaheshimiana, unawezaje kumletea mpenzi wako kisirani?
Mkuu unaishije na mtu muda mref ndani ya nyumba msipishane? Kuna ile mmoja ajishushe sku zote kuepusha mabalaa ila hata kununa? Kukwazika?? Come oon, kwan make up sex ilitokea wap mkuu 😁? Si kuchuniana kdogo ile mnakutana ni mme missiana kikweli kweli.Ugomvi sio mapenzi jamani, huko ni kukosa maelewano.
Wivu sote tunao, ila tunaelewana na kuaminiana. Haiwezi kufikia hatua ya ugomvi.
Kirisani kila mtu anacho lakini tunaheshimiana, unawezaje kumletea mpenzi wako kisirani?
[emoji23][emoji23] eeh kama una mdomo makofi unaezachezeaAna kwa ana ni mbaya hiyoo
Unaweza chezea makofii...ushangae
🤣🤣🤣🙌[emoji23][emoji23] eeh kama una mdomo makofi unaezachezea