Kuna watu hufa mara mbili

Sasa hao maiti wenyewe wakiulizwa wanasema sababu nini ya kufa mara mbili?
 
Hivi Ni kweli Kuna maiti huguna wakati wa kuoshwa?
 
niliwahi kupiga story na mortuary attendant mmoja akasema kuna wengine huwa wanaamkia huko ndani lkn yeye akiona tayari huko nnje watu washapena taarifa na kupigiana simu kuwa mpendwa wao amekufa ni ngumu yeye kurudi kusema kuwa hajafa hivyo inabidi amalizie tu huko huko ndani ili story ibaki vile vile.
 
Ni kweli lakini matukio haya ni ya siri sana na sio mengi
 
Eeh Jamani watu wa mortuary 🙆
 
Chato tunaita idle talk
 
Tafadhali mkuu nipe uzoefu wako kiimani juu ya Watu waliokufa walioaminika walisimamia Imani ya Mungu Baba kwa ukweli na kwa udhubutu. Je ni kweli hata kufa kwao ni kwa kawaida na kusiko na masumbufu?
Na niliwahi sikia kuna Mtu alisadikika aliishi vyema kwa imani kamili na mwili wake ulikuja julikana baada ya kama siku Tatu baada ya kufa kwake na mwili haujaharibika bado je hii inawezekana?
 
Inawezekana kabisa na wenye heri wengi hulala milele bila maumivu wala mateso
 
Mkuu mshana banaa....kwahiyo ukamsindikiza na buti la tumbo au lauso!fanyaa mpango basi wa majii ya maiti mkuu Kuna deal
 
Mkuu mshana banaa....kwahiyo ukamsindikiza na buti la tumbo au lauso!fanyaa mpango basi wa majii ya maiti mkuu Kuna deal
[emoji3][emoji3][emoji3]unataka kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…