mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 835
- 1,608
Sasa hao maiti wenyewe wakiulizwa wanasema sababu nini ya kufa mara mbili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliwahi kupiga story na mortuary attendant mmoja akasema kuna wengine huwa wanaamkia huko ndani lkn yeye akiona tayari huko nnje watu washapena taarifa na kupigiana simu kuwa mpendwa wao amekufa ni ngumu yeye kurudi kusema kuwa hajafa hivyo inabidi amalizie tu huko huko ndani ili story ibaki vile vile.Unaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye.
Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku, wahudumu wa mochwari wanalifahamu hili vema! Unaletewa mwili uuhifadhi kwenye jokofu lakini kwa wakati huo majokofu aidha yamejaa au kuna miili mingi inahitaji kuipanga vema kabla hujaiload kwenye jokofu.
Miili yote inayoletwa mochwari imeshathibitishwa na daktari kwa maandishi kuwa huyu ni marehemu/maiti hana uhai tena hapumui na ni mzoga lakini ukiwa kwenye harakati za kupanga hizo maiti ghafla mojawapo ya maiti inasimama wima na kutaka kupiga hatua huku macho bila kupepesa yakiwa yamemtoka pima! !! Huna jinsi unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa na baada ya hapo hainyanyuki tena.
Mochwari kuna mengi ya ajabu ya kutisha na kustaajabisha na wahudumu wa huko wanaona mengi! Lakini kitu kisicho na majibu ni kwamba kwanini kuna maiti hua zinafufuka na kufa tena ?
Bado kuna mengi hatuyajui.
Ni kweli lakini matukio haya ni ya siri sana na sio menginiliwahi kupiga story na mortuary attendant mmoja akasema kuna wengine huwa wanaamkia huko ndani lkn yeye akiona tayari huko nnje watu washapena taarifa na kupigiana simu kuwa mpendwa wao amekufa ni ngumu yeye kurudi kusema kuwa hajafa hivyo inabidi amalizie tu huko huko ndani ili story ibaki vile vile.
😀😀Na kukunja sura pia
Eeh Jamani watu wa mortuary 🙆niliwahi kupiga story na mortuary attendant mmoja akasema kuna wengine huwa wanaamkia huko ndani lkn yeye akiona tayari huko nnje watu washapena taarifa na kupigiana simu kuwa mpendwa wao amekufa ni ngumu yeye kurudi kusema kuwa hajafa hivyo inabidi amalizie tu huko huko ndani ili story ibaki vile vile.
Chato tunaita idle talkUnaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye.
Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku, wahudumu wa mochwari wanalifahamu hili vema! Unaletewa mwili uuhifadhi kwenye jokofu lakini kwa wakati huo majokofu aidha yamejaa au kuna miili mingi inahitaji kuipanga vema kabla hujaiload kwenye jokofu.
Miili yote inayoletwa mochwari imeshathibitishwa na daktari kwa maandishi kuwa huyu ni marehemu/maiti hana uhai tena hapumui na ni mzoga lakini ukiwa kwenye harakati za kupanga hizo maiti ghafla mojawapo ya maiti inasimama wima na kutaka kupiga hatua huku macho bila kupepesa yakiwa yamemtoka pima! !! Huna jinsi unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa na baada ya hapo hainyanyuki tena.
Mochwari kuna mengi ya ajabu ya kutisha na kustaajabisha na wahudumu wa huko wanaona mengi! Lakini kitu kisicho na majibu ni kwamba kwanini kuna maiti hua zinafufuka na kufa tena?
Bado kuna mengi hatuyajui.
Aisee kumbeeeVifo vya kulazimishwa na roho ya kisasi au ugomvi na mtu aliye hai
Inawezekana kabisa na wenye heri wengi hulala milele bila maumivu wala matesoTafadhali mkuu nipe uzoefu wako kiimani juu ya Watu waliokufa walioaminika walisimamia Imani ya Mungu Baba kwa ukweli na kwa udhubutu. Je ni kweli hata kufa kwao ni kwa kawaida na kusiko na masumbufu?
Na niliwahi sikia kuna Mtu alisadikika aliishi vyema kwa imani kamili na mwili wake ulikuja julikana baada ya kama siku Tatu baada ya kufa kwake na mwili haujaharibika bado je hii inawezekana?