Kuna watu hufa mara mbili

Kuna vifo sio kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kuna watu hufa kwa vinyongo na visasi na wengine hufa ghafla huku wakiwa kwenye jambo moja muhimu sana! Hivyo hata baada ya roho kuachana na mwili bado ile conscious mind haitaki kukubali ile hali

Kwa hio abda ukimwacha ninini kitatokea
 
Kuna vifo sio kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kuna watu hufa kwa vinyongo na visasi na wengine hufa ghafla huku wakiwa kwenye jambo moja muhimu sana! Hivyo hata baada ya roho kuachana na mwili bado ile conscious mind haitaki kukubali ile hali

loohhh kazi ipoo kumbe
 
mshanajr
ni kweli, nafsi zingne znapata tabu kukabiliana na hali ya kifo ndio maana hayo yanatokea.
 
Last edited by a moderator:
Hebu dadavua vizuri. Kuna story niliskia kuhusu ya mfanyakazi wa mortuary aliye kua na tabia ya kubaka maiti za wadada sasa hyo maiti moja ikanyanyuka ikampiga vibao hafu ikafa moja kwa moja akaenda kujiua huyo mhudumu. Kumbe hizi mambo zina exist.

Hizi mambo zipo sana tena sana hata ulaya kuna wahudumu walishawahi kufukuzwa kazi na wengine kufungwa au kuwa wendawazimu kwa ajili ya kubaka au kuibia na kudhalilisha maiti
 
Lakini mshana jr mtu roho ikisha mwacha akili nayosi haita fanya kazi tena? Sa kinyongo na kisas huwa vinatokeaje ma roho haipo tena
 
Last edited by a moderator:
Hizi mambo zipo sana tena sana hata ulaya kuna wahudumu walishawahi kufukuzwa kazi na wengine kufungwa au kuwa wendawazimu kwa ajili ya kubaka au kuibia na kudhalilisha maiti

Ngumu sana huyo mhudumu alikua amekubuhu hasa kwa wadada warembo sasa siku hyo maiti ilimkomalia akikimbia kujiua zake sasa sijui ndo yule roho wa mauti alimuingia.
 
Lakini mshana jr mtu roho ikisha mwacha akili nayosi haita fanya kazi tena? Sa kinyongo na kisas huwa vinatokeaje ma roho haipo tena
Pendael24 kuna roho halafu kuna mwili halafu kuna ufahamu!huu ufahamu ndio kila kitu ni energy ambayo haifi
 
Last edited by a moderator:
Lakini mshana jr mtu roho ikisha mwacha akili nayosi haita fanya kazi tena? Sa kinyongo na kisas huwa vinatokeaje ma roho haipo tena

Ukiwa umezidi roho mbaya ukatili kabla ya kufa hutaangaika sana tu. Mana spiritually kuna vitu unaona. Sasa mwili unakua unashindana na roho hapo ndo kunamfanya wengi kuhangaika.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa umezidi roho mbaya ukatili kabla ya kufa hutaangaika sana tu. Mana spiritually kuna vitu unaona. Sasa mwili unakua unashindana na roho hapo ndo kunamfanya wengi kuhangaika.

Ibilisi nimuharibifu mno hadi mtu kulala maiti lazma uwe na roho isiyo ya kawaida.

Nilishashuhudia mchawi anakufa siku tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…