Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vifo sio kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kuna watu hufa kwa vinyongo na visasi na wengine hufa ghafla huku wakiwa kwenye jambo moja muhimu sana! Hivyo hata baada ya roho kuachana na mwili bado ile conscious mind haitaki kukubali ile hali

Kuna lugha ya kuongea na marehemu
Hebu dadavua vizuri. Kuna story niliskia kuhusu ya mfanyakazi wa mortuary aliye kua na tabia ya kubaka maiti za wadada sasa hyo maiti moja ikanyanyuka ikampiga vibao hafu ikafa moja kwa moja akaenda kujiua huyo mhudumu. Kumbe hizi mambo zina exist.
Hizi mambo zipo sana tena sana hata ulaya kuna wahudumu walishawahi kufukuzwa kazi na wengine kufungwa au kuwa wendawazimu kwa ajili ya kubaka au kuibia na kudhalilisha maiti
Hahahahaaaaaaa kaka vipi? Niliadimika kidogo lakini nipo hewani sasa
Lakini mshana jr mtu roho ikisha mwacha akili nayosi haita fanya kazi tena? Sa kinyongo na kisas huwa vinatokeaje ma roho haipo tena
Hakuna kitu kibaya kama ibilisi
Ukiwa umezidi roho mbaya ukatili kabla ya kufa hutaangaika sana tu. Mana spiritually kuna vitu unaona. Sasa mwili unakua unashindana na roho hapo ndo kunamfanya wengi kuhangaika.
Ibilisi nimuharibifu mno hadi mtu kulala maiti lazma uwe na roho isiyo ya kawaida.