Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kuna mzee mmoja katika harakati za kutafuta life akajikuta ameangukia katika kazi ya kuwa mtu wa mochwari, kazi yake ikiwa
a.kupokea maiti mpya, kuzipanga chini kwqnza kablaa ya kuziweka kwenye mafriji.
b. Kutoa maiti zilizofatwa ili zikazikwe na wanandugu zao
c. Kuosha maiti kwa wale watao hitaji huduma hiii.
d. Kuzika maiti hasa za vichanga ambao ndugu zengine huwa hawaendi nazo kwa ajili ya mazishi.
e.pia anakuwa kama mlinzi wa maiti hizo, maana hufanya ukaguzi na kuzingalia kwa kipindi atacho kuwa hapo.
Huyu mzee kumbwa na mengi hata kupelekea kukimbia siku yake ya shift usiku, ila ngoja twende kwenye topic
haliwahi sema kuna strong willing ambayo watu wanakuwa nayo zinazofanya kuto kubali kufa, au kutotaka kufa kwa wakati huo, au kuna ambao waliweka nadhiri kwenye task au jukumu kuwa hawezi kufa hadi akamilishe, sasa mauti inapo mkuta hapo stil mindi na willing yake inakuwa hazijafa kabisa. Mara nyingi watu hawa huwa ni wanafanyiwa mchezo na wenzao. Kuna kisa alikitolea mfano, Kuna mtu alikuwa anafanyaga mazoez daily, na yey husema lazima amalize round kadhaa ndio apumzke, sasa huyu mtu alipigwa kitu wakati wa mazoezi, akapelekew mochwari lakini alipofika kuna muda aliamka na kuzungumza kuwa ngoja nimalizie round 2 za mwisho, jamaa kaon mengj so hakuon na hajashangazw akamwambia nakusihi ufanye haraka, yule mtu akasimam aka kimbia mule rum, haoa na pale baada ya hapo aka nyoooka mazima, so similar case kama hizi hutokea zingine hazisemi zinafanya tu.
Pia akasema kuna strong will ya kukataa kifo baada ya kuona uchafu au madhambi aliyoyafanya kuwa ni mengi na kujua fika huko aendaki ni kubaya sana, hii hutokea hasa kwa wachawi au wauaji na majambazi sugu. Kuna bibi alifariki alipo pelekw pale baada ya kuumwa muda mrefu sana, majirani ndio waliokuw wanasaidia kuingiza mwili lakini kuna manen walikuw wakizungumza kuhusu skendo na tabia za marehem ikiwemo uchawi, cha ajabu baada ya hao kutoka room yule bib wakati wanafunikwa vzuri usoni alimkamata muhudumu wa michwari akilalamika kuwa kwanini wanatoa siri zake, akisema anamwonyesh wote hadi yey, ila muhudum alimjib sasa umeshafariki baki na aman na manen mengine meng mengi akaachiwa bibi akajinyoosha.
Ila ishu kama mtu ukiwa na unfinished task ambayo ulikweka nadhiri kuwa utaifanya stil mind itakuwa conditioned kuwa active, dats why inasemekana duration inayochukua ubongo wa binadam kuganda au kufa ina tofautian after mauti kufika nahisi ishu ya kuwa determined kweny task fulan itaingia hapaa,
mshana jr
Wewe na mshanajr mna mpango wa kunivunjia mbavu zangu au??
Last edited by a moderator: