Kuna watu hufa mara mbili

Kuna watu hufa mara mbili

Kuna mmama mmoja pale KCMC simpatii picha. Tumeenda kuchukua maiti mochware attendant haonekani. Tumesubiri kama masaa matatu hivi.... mara mlango wa mochware ukafunguka.... Akatuomba samahani alipitiwa na usingizi...

Unawezaje kulala na maiti kwa mfano? Yani na usingizi unakuja kabisaaa?? Afu mwanamke.

Nilimvulia kofia

Nakumbuka kuna swali niliwahi kuuliza hapahapa jf tena kwenye jukwaa hili hili kuhusu watu kuogopa maiti... Lakn kwa bahat mbaya sikupata jibu zuri kama haya ya mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Aende wapi wakati ameshathibishwa na daktari tena kwa maandishi kuwa kafa? Anataka kuwaletea watu skendo? Kwanini asingenyanyuka huko huko? Aende zake huko

kama ni ndugu na unajua maumivu ya kufiwa ndugu utafanyaje na ndo ivo kashasimama??
 
Unaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye
Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku, wahudumu wa mochwari wanalifahamu hili vema! Unaletewa mwili uuhifadhi kwenye jokofu lakini kwa wakati huo majokofu aidha yamejaa au kuna miili mingi inahitaji kuipanga vema kabla hujaiload kwenye jokofu
Miili yote inayoletwa mochwari imeshathibitishwa na daktari kwa maandishi kuwa huyu ni marehemu/maiti hana uhai tena hapumui na ni mzoga lakini ukiwa kwenye harakati za kupanga hizo maiti ghafla mojawapo ya maiti inasimama wima na kutaka kupiga hatua huku macho bila kupepesa yakiwa yamemtoka pima! !! Huna jinsi unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa na baada ya hapo hainyanyuki tena
Mochwari kuna mengi ya ajabu ya kutisha na kustaajabisha na wahudumu wa huko wanaona mengi! Lakini kitu kisicho na majibu ni kwamba kwanini kuna maiti hua zinafufuka na kufa tena ? Bado kuna mengi hatuyajui

nakubalina na ww mtoa mada kwa asilimia mia haya mamb ypo mfano kuna msiba wa bibi mmoja ulitokea moshi bac saa ya kuaga watu wameaga ikawa imefika zamu ya bibi mmoja kuaga bac ile kufika pale kweny jeneza anatazama maiti tu ile mait ya yule bibi ikafumbua macho wakatazaman face to face then alipopita tu ile maiti ikaendelea kufumba macho...hii nilipata bahat ya kuwa shuhuda kwa tukio hili nilibahatik kulilikodi kweny video camera nilikuwa km camera man bac ckujua maana ya tukio hili kabisa ila nilijarib rewind hile mini dive na nikaona ni kweli yule bibi alifumbua macho kabixa ...
 
Hebu mshana jr ungeshusha paragraph ya kutosha kuhusu hyo ya maiti na makaburin maana nahisi kuvutiwa sana na hii kitu... Kuna maiti za ndg zangu na jamaa nilizishuhudia znanipa maswali mpaka leo
Mgirik hebu tembelea ile mada yangu ya "kuongea na wafu, maarifa yaliyoshindikana ulimwenguni " kuna full package ya hii kitu! Ngoja nikaitafute nikualike
 
Last edited by a moderator:
Mgirik hebu tembelea ile mada yangu ya "kuongea na wafu, maarifa yaliyoshindikana ulimwenguni " kuna full package ya hii kitu! Ngoja nikaitafute nikualike

Hata me naomba unialike ktk hiyo mada nimevutiwa na ulivyoelekeza pia kuna vi2 nimejifunza abt maiti
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye.

Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku, wahudumu wa mochwari wanalifahamu hili vema! Unaletewa mwili uuhifadhi kwenye jokofu lakini kwa wakati huo majokofu aidha yamejaa au kuna miili mingi inahitaji kuipanga vema kabla hujaiload kwenye jokofu.

Miili yote inayoletwa mochwari imeshathibitishwa na daktari kwa maandishi kuwa huyu ni marehemu/maiti hana uhai tena hapumui na ni mzoga lakini ukiwa kwenye harakati za kupanga hizo maiti ghafla mojawapo ya maiti inasimama wima na kutaka kupiga hatua huku macho bila kupepesa yakiwa yamemtoka pima! !! Huna jinsi unaisindikiza na teke irudi ilipokuwa na baada ya hapo hainyanyuki tena.

Mochwari kuna mengi ya ajabu ya kutisha na kustaajabisha na wahudumu wa huko wanaona mengi! Lakini kitu kisicho na majibu ni kwamba kwanini kuna maiti hua zinafufuka na kufa tena ?

Bado kuna mengi hatuyajui.

Kaka Mkuu mm kwa Upeo Wangu nadhan wengine huwa wanazimia tu kwa kukosekana kwa vifaa vya kuthibitisha kifo cha mhusika,Imagine kwa Mchezaji wa Bolton Wanderers kama sikosei Fabrice Muamba inasemekana alikuwa half dead kwa dkk kadhaa hii ingelikuwa Bongo angeshazikwa na kusahaulika
 
uhai hautoki mara mbili mkuu mshana jr,uhai ni mara moja tu.ukiona mtu katika hali hiyo ujue kuna mawili,

1.alikuwa bado hajafa,alikuwa deep unconscious kiasi kwamba hata dr aliyempima hakuweza kutambua hilo.

2.ts bcoz of supernatural powers,i mean ni muujiza tu na kutoka kwa Mungu tu ndo anaouwezo kwa kurudisha uhai
 
Kaka Mkuu mm kwa Upeo Wangu nadhan wengine huwa wanazimia tu kwa kukosekana kwa vifaa vya kuthibitisha kifo cha mhusika,Imagine kwa Mchezaji wa Bolton Wanderers kama sikosei Fabrice Muamba inasemekana alikuwa half dead kwa dkk kadhaa hii ingelikuwa Bongo angeshazikwa na kusahaulika

Na inasemekana hata kwa Waislam wengi tu hasa wa Vijijin ambao hakuna Madaktari wa kuweza kuthibitisha kifo cha Mgonjwa au hata aliepata ajali ya kumfanya awe Unconsiousness wanazikwa na kuzika watu wakiwa bado wakiwa hai,Hii ya kufa mara ya pili inahitaji maelezo yenye nyama zaidi ya haya kuweza kunishawishi nielewe
 
Kaka Mkuu mm kwa Upeo Wangu nadhan wengine huwa wanazimia tu kwa kukosekana kwa vifaa vya kuthibitisha kifo cha mhusika,Imagine kwa Mchezaji wa Bolton Wanderers kama sikosei Fabrice Muamba inasemekana alikuwa half dead kwa dkk kadhaa hii ingelikuwa Bongo angeshazikwa na kusahaulika

na kama ukikutana na wale ndugu zetu ambao ukianguka asubuh mchana kwishney udongoni ndo kabisaaaaaaaaa
 
na kama ukikutana na wale ndugu zetu ambao ukianguka asubuh mchana kwishney udongoni ndo kabisaaaaaaaaa

Kipindi kile ukimwi unaua sana. Kuna njemba iliRIP wananchi wakapanga kuzika jioni. Wakati wa ibada ya kikatoliki padre akaimwagia maiti yale maji wanasema ya baraka.... kulaaleki maiti ikapiga chafya.... Nakumbuka Padre aliyekuwa anawapa watu faraja ndio aliongoza zile mbio za marathoni... Sijawahi ona riadha ya namna ile maana hata kilema alisahau magongo akaunga msafara wa marathoni...

Maiti inatisha acheni masihara. Sijui kwanini zinamheshimu mshana jr
 
Hahahahaaaaaaa hahahahaaaaaaa hahaaa yani leo Asprin ni full majanga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom