Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Kuna mmama mmoja pale KCMC simpatii picha. Tumeenda kuchukua maiti mochware attendant haonekani. Tumesubiri kama masaa matatu hivi.... mara mlango wa mochware ukafunguka.... Akatuomba samahani alipitiwa na usingizi...
Unawezaje kulala na maiti kwa mfano? Yani na usingizi unakuja kabisaaa?? Afu mwanamke.
Nilimvulia kofia
Nakumbuka kuna swali niliwahi kuuliza hapahapa jf tena kwenye jukwaa hili hili kuhusu watu kuogopa maiti... Lakn kwa bahat mbaya sikupata jibu zuri kama haya ya mshana jr
Last edited by a moderator: