NADHARIA Kuna watu hutoka ndani ya miili yao

Taarifa hii ni nadharia tu, tumeitolea ufafanuzi kwa kadiri ilivyowezekana
Ndo maana mdau kakwambia hiyo inabaki kuwa ni nadharia tuu maana process zake nyingi hazina uthibitisho kisayansi,ukishakuta tuu jambo linasemwa ni la kiimani basi jua tuu ndo hivo
 
Nisaidie kidoogo Biblia imeandika wapi ili nikarejeee kuhusu meditation
 
Nisaidie kidoogo Biblia imeandika wapi ili nikarejeee kuhusu meditation
Mitume na manabii walifanya tahajudi kuongea na Mungu....

Neno Tahajudi (ama meditation) kiingereza .....limeandikwa mara nyingi mno kwenye bible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…