Kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji China

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
NIMEONA BBC
Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji

Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu

Mungu tusaidie
 
Hao machondogo wanacreate tatizo wafanye biashara, siwapendi kweli hao nyau.
Ni tatizo la dunia nzima
 
Back
Top Bottom