Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Nov 24, 2023 #1 NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu Mungu tusaidie
NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu Mungu tusaidie
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Nov 24, 2023 #2 Pdidy said: Mungo tusaidie Click to expand... Kweli una wasiwasi. Edit hapo boss.
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,358 Reaction score 4,263 Nov 24, 2023 #3 Hawa wachina wameanza ufala wao, sisi tuko busy huko Gaza.
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Nov 24, 2023 Thread starter #4 Tsh said: Kweli una wasiwasi. Edit hapo boss. Click to expand... Thxmkuuu hatareee m sikutoka kabisaa nje sasa sijuiii wanakuja na lipi
Tsh said: Kweli una wasiwasi. Edit hapo boss. Click to expand... Thxmkuuu hatareee m sikutoka kabisaa nje sasa sijuiii wanakuja na lipi
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Nov 24, 2023 #5 Pdidy said: Thxmkuuu hatareee m sikutoka kabisaa nje sasa sijuiii wanakuja na lipi Click to expand... Ngoja tuone..
Pdidy said: Thxmkuuu hatareee m sikutoka kabisaa nje sasa sijuiii wanakuja na lipi Click to expand... Ngoja tuone..
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Nov 24, 2023 #6 Pdidy said: NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu Mungu tusaidie Click to expand... Hao machondogo wanacreate tatizo wafanye biashara, siwapendi kweli hao nyau. Ni tatizo la dunia nzima
Pdidy said: NIMEONA BBC Waziristan wa China amesema wananchi wajipange kuna watu kadhaa wameripotiwa kuwa na matatizo ya upumuaji Haha hivyoo hawajaelewaaa aina ya kijidudu inayowasumbua kwa sasaaa..mmh wasije na cvd 23 tu Mungu tusaidie Click to expand... Hao machondogo wanacreate tatizo wafanye biashara, siwapendi kweli hao nyau. Ni tatizo la dunia nzima
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Nov 24, 2023 #7 Hata kovid19 ilianza miezi kama hii.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Nov 24, 2023 #8 uzuri upumuaji si changamoto kwa mwafrika wa kienyeji