Kuna watu katika hili jukwaa wanajidai bado watoto. Hawajui dhambi

Kuna watu katika hili jukwaa wanajidai bado watoto. Hawajui dhambi

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Huu sijui ni utani au ni ubishi tu na yeye aonekane kachangia sijui lakini.

Humu ndani kuna watu wanajifanya hawajui uovu kabisa ama hawajui tafsiri ya neno dhambi.

Hata kama ni kujidai siyo kwa kujishusha hivyo na kujitoa ufahamu.

Hata mtoto mdogo anajua mema na mabaya, muache kujitetea na uovu kuwa wema.
 
Sio humu ndani tu bali hizo ndizo akili za mitandaoni zilivyo
 
Back
Top Bottom