Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Huu sijui ni utani au ni ubishi tu na yeye aonekane kachangia sijui lakini.
Humu ndani kuna watu wanajifanya hawajui uovu kabisa ama hawajui tafsiri ya neno dhambi.
Hata kama ni kujidai siyo kwa kujishusha hivyo na kujitoa ufahamu.
Hata mtoto mdogo anajua mema na mabaya, muache kujitetea na uovu kuwa wema.