Kuna Watu "Kimoyomoyo' wanatamani hii Mvua Kubwa ya Dar iendelee Kunyesha ili Wakiepuke Kipigo cha 'Kishalubela' tarehe 5 Novemba, 2023 kwa Mkapa

Kuna Watu "Kimoyomoyo' wanatamani hii Mvua Kubwa ya Dar iendelee Kunyesha ili Wakiepuke Kipigo cha 'Kishalubela' tarehe 5 Novemba, 2023 kwa Mkapa

TUKANA UONE

JUHA letu limekula Ban mkuu
Umelipiga spana za moto mno
Mkuu huyo Spana ambazo huwa namkung'uta huwa anasepa mazima,nadhani kuna uzi huko atakuwa kalimwaga tusi la karne ikabidi wamle kichwa!.

Siku Ban yake ikiisha Spana zitaendelea kama kawa!
 
Siku hiyo ndiyo mtajua kuna tofauti tofauti Kubwa kati ya Kumkaribisha Mgeni 'Kienyeji Kienyeji' katika Park Yard ya Training Ground na Kucheza Kandanda Safi la 'Pira Objective' na ile ya Kumkaribisha Mgeni Posta Matapeli House ambapo mnaenda Kukoga Bao nyingi tu na Kutafutana hadi Kuchapana Bakora Kiwanjani.
TUTAONA...
 
Back
Top Bottom