Kuna watu ndani ya CCM wanatumika na Upinzani, wana nia ovu kwa Rais. Huu mtego tumeugundua

HAYA MAANDISHI THAMANI YAKE NI KAMA TIOILET PAPER
 
Defensive mechanism hii, baada ya kuona kuwa bibi kichwa chake ni cheupe, hata kutaja mawaziri aliowateua hawezi
 
Baada ya kuvimbiwa tozo zetu unabwabwaja hovyo badala ya kukalisha hilo tracko chini
 
Sasa kama dunia ya sasa mnakaa midahalo rahisi kabisa ya wenyewe kwa wenyewe kwa kuwa na mashaka na uwezo wa mgombea wenu, sasa huyo mgombea wenu anaweza kweli kuwa fit for the office maana Ile ofisi inahitaji mtu mwenye akili, anayejuma, anayependa kusoma, akili iwe sharp na mtu mwenye uwezo wa kujibu maswali pamoja na kuhudhuria midahalo ndani na nje kuitetea nchi yake.
 
Rais wako si wetu.

Rais wa JMT lazima awe mtanganyika.Rais akitokea nchi ya Zanzibar ni fedhea na matusi makubwa kwa Tanganyika ambayo ina idadi ya watu zaidi ya 60 milioni huku nchi ya watu wa Zanzibar ikiwa na idadi ya watu wasiozidi 2 million.

Kwakuwa Rais wa JMT ni Rais wa Tanganyika hana mamlaka Zanzibar.

Kwakuwa Rais wa Zanzibar lazima awe Mzanzibar Mtanganyika hana nafasi ya kuongoza nchi ya Zanzibar basi na Mzanzibar ni haramu kuongoza Tanganyika.
 
Waachieni chadema tuone kama wataongoza nchi vyema
 
Mbona wew ndo mwendawazimu ulietumwa 😂😂😂.Makonda aliomba mdaharo mkapita kushoto sembuse samia
 
Je upo poa? Naona jina la Hashim Ringer hapo. Kabla ya kutukana wenzako, jitafakari
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aiseeehh Mkuu umefikiriaje hii ndo Jamani forums iliyopotea IMERUDI....
 
Sasa si mumurete kwenye mdaharo TUONE
Mdahalo si jambo la kushabikia...

Mfano uletwe mdahalo kuhusu katiba...

Lema ana uelewa wowote kuhusu katiba zaidi ya dondoo tu za kukalilishwa!

Mfano ukimuuliza kwanini anataka katiba mpya wakati kuna uwezekano wa kufanya mabadiliko (amendment) ataweza kujadili?
 
Dah nlidhani umeandika cha maana nikajitahidi kusoma yote kumbe ndo mweupe hivi kichwani aliye kwambia mdahalo upo kwajili ya kudhalilisha ni nni na kama mnajiamini mmewatendea haki wanachi kinacho wapa woga nini? …. Bado hamjasma
 
Mambo ya kizamani akili kubwa haiwezi kujadi huu upuuzi
 
Umeeleweka!
Nami nakazia haiwekani.
Tena ni marufuku bora twende hivi hivi.
 
Hizi ni dharau kwa taasisi ya urais.

Mbowe ambaye ni form six failure na Ngumbaru Lema wamshinde hoja Mh Samia?

Mtoa mada acha dharau.
Aisee ni hasara sana kuwa na mke kama wewe kwahiyo kipimo cha mtu kuelewa mambo ni mpaka aende chuo kikuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…