Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Hanifai ndio,
ila ndo pekee anaeniridhisha kitandani,
Nmetafuta Sana mbadala wake nmeshindwa

Unanishaurije mkuu [emoji848]
Mkuu mimi ninaamini tatizo lipo zaidi kimtazamo kuliko kiuhalisia. Na kibaya zaidi ulimlea hiyo tabia yake mpaka imekomaa hivyo itakuwa ngumu kumbadilisha. Cha kukushauri mkuu, badili mtazamo huo, na pia achana naye kabisa kwa sababu yatakayokuja kutokea ni mabaya sana, niamini Mimi nakwambia mkuu.

Cha msingi wewe tulia na mke wako, na pia mnaweza kuwekana wazi vitu gani mnapenda na mkafurahia penzi zaidi, inawezekana hamna uwazi sana kwenye mambo hayo. Hata kama mkeo ni mtu wa imani lakini mnaweza kuspice up things in bed mkafurahia ndoa yenu zaidi.
Huyu mwanamke hamuendani kabisa mkuu. Wewe ni mtu mstaarabu na huna sauti lakini yeye ni mtu mswahili na mwenye mdomo wa kuropoka sana.

Na anaonekana ameshakudharau sana na amejua wewe ni dhaifu kwake, na umekubali kupelekeshwa. Refer tukio la bar mlipokwenda kula na kunywa, ile tabia aliyoonyesha pale na rafiki zake ni tabia ya hali ya chini sana na ya aibu mno. Pili hata anavyokujibu message na hiyo call record uliyopost inaonyesha ni mtu asiye na heshima kwako hata kidogo, anakuona dhaifu na amekudharau mno, lakini wewe unamuona kama mtu aliyetoka sayari nyingine, unampa u-special ambao haumstahili hata kidogo.

Cha kukushauri achana naye, atakuja kukuharibia maisha yako zaidi, maana ameshaanza na amekupa hasara kubwa katika muda na gharama zako. Na huyu kuna siku atakuja kumpigia hata mke wako simu na alivyo muongeaji akazua balaa kubwa sana mke wako akapata presha na mengine mengi ambayo hutopenda yatokee.

Ingawa najua hutakiwi kumshauri mtu katika mahusiano lakini ndugu yangu usipofata ushauri unaopewa na wadau mbalimbali hapa, utakuja kuzisoma thread ulizoandika mwenyewe huku ukiwa unajuta. Huyo mwanamke hakupendi wala hakuheshimu mkuu, kubali ukweli angalia upande mwingine wenye mambo ya msingi kama biashara yako na familia.
 
Ushauri mzuri unapoteza kwa mpuuzi huyo na hilo kahaba analoita mchepuko.
Mkewe ashajua na anapigwa vilevile nayeye.
 
Ushauri mzuri unapoteza kwa mpuuzi huyo na hilo kahaba analoita mchepuko.
Mkewe ashajua na anapigwa vilevile nayeye.
Uko sahihi mkuu huyo mwanamke amekaa kikahaba sana na hafai kabisa kupewa heshima ya mke.

Kwa hilo la kupigwa mke wake nje sidhani, ingawa mwanamke akiona faraja anayoipata kwako haipo na akatokea mtu akampa hiyo faraja, uwezekano wa mke kutoka nje ni mkubwa.
 
Kwa upuuzi anafanya huyu mtu ni rahisi sana mke pia kua na yake.
Sio kwa uhuru huo wa kuzungushwa km pia na malaya wa hovyo tu nje huko.
We bibi wa namna gani na mashoga zake kila siku akutie hasara ya laki + alafu useme nna bibi.
Hilo changudoa tu,huyu jamaa iko siku atakuja na mada hapa kupuruliwa mtaji na hilo shweitani.
Ananikera km namjua natamani hata ningemtandika mingumi kidogo aamke.
 
Inawezekana jamaa amefanyiwa ulozi na siyo akili yake kabisa.
 
Inasikitisha sana.
 


Gharama ya ZINAA ni kubwa na ya kuchosha
 
Duh mkuu huyo mwanamke kabeba nn katikati ya mapaja mpaka utoboke kiasi hicho,mm ningekuwa ndo wewe ilikuwa ndo imeisha hiyo kaanza huwa sidate na mwanamke mlevi wa kiasi hicho, zaid huyo ni mshenzi
 
Naona mnasumbuka kumshauri braza akati kashapewa nyama ya tako. Aminini kwamba huyu kuchomoka hachomoki. Braza unafikiri unampenda mke wako hell no humpendi.

Unaspend muda kumuwaza mamaJ, message kwenye chat ni mamaJ, akili inamuwaza muda wote mamaJ, umerogwa na makombe utachomokea wapi...

Afu Mungu anavyokupenda amekupa washauri humu tena wanaume wenzako lakini husikii..eti kisa maku..bro wewe ni mshamba sana wa maku eti...

Anakudharau na unajidowngrade. Ukioona Mungu anakupa signs waziwazi za huyo mwanamke na bado hutaki kuelewa..hehehee mkataa pema pabaya panamcall.

Binafsi simchukii mamaJ maana huyu dada ushamfuja sana na anajiona hana nafasi maana yeye ni mchepuko tu. Hakuna mwanamke anaependa bwana ake asijivunie. Yeye anafichwa...usiku kwenye mabar tu ndo anatambulishwa lakini mchana mke halali ndo yuko recognized. Itafika wakati atataka na yeye kuwa na mume.

I blame you. I hate you for not loving your wife. Sexual fantasiez ni za kumfundisha mkeo, kuongea nae but uko busy nje. Hizo hela unazospend buko hujawahi kutamani kama ungekuwa unahonga mkeo. Hutamani hela na jasho lako wangekula mtoto au watoto wako. Braza huwazi kununua assets afu andika majina ya watoto wako....

Kuna michongo mingi sana tantrade ya kusafirisha mazao huwazi. Weww ni nyege tu ndo unazoziendekeza. Tangia unamla maku umepata faida gani.


Ila wanawake mna kazi jamani.
 
Shida ya wanawake wa hivi kuwaacha ngumu sijui kwanini mi kuna moja kaniendesha miaka mitatu ikafika hatua nikapata anayefanana nae ndio pona yangu ila nilikuwa kama mjinga
Wanawake wa hivi wanapenda sex sana, sio wachoyo kutoa K ndio wanatulogeaga hapo, mnawezakua mna ugomvi mkubwa sana akaanza kukusumbua anawashwa ukamnyandue na ugomvi unaishia hapo
Mkiwa hamna ugomvi wapo kisex sana na hata chating zao za kiuchokozi.

Unakuta mwanamke ni mpenzi wako lkn siku ukitaka kumnyandua kama unamtongoza upya.
 
Umeongea mambo ya msingi sana mkuu, lakini usimuombee mabaya mkuu, haijakaa poa. Kama hatasikia atajifunza the hard way.
 
Umeongea kwa uchungu sana.
 
ndugu hyangu unamoyo wa kioekee sana, hivi vitu sijawahi tabasamu navyo
asije msichana akacheza huuujinga ni siku moja tu mahusiano yataenda likizo
 
Hebu ifafanue kdg Hii[emoji848]
Kijana wanadamu wote ni kama watoto.
So unacheza na akili zao pale mchepuko wako aliweka zile hela kukupima kama unampenda .

Ungemwomba kistaarabu mama j naomba hela nashida unamdanganya hata ile yasiku ile nilimlipa mangi na nilikopa kazini siunajua nikiwa nayo sikuombi naomba basi hata posho yako nikalipe ofisini ili nisipatiwe shida??
Au unapenda mpenzi wako aibike akose kazi jamani mama j .
Atakuelewa .
Kamwe mwanamke usimkomoe kwa maana ni rahisi yeye kukuweka matatani .

Jua hujamtafutiaga kazi wala hujui alipataje anamtu wake eti tofauti nawewe ila wewe kila siku unamfanyia vitukobadala yakumuona nimwanamke wakuheshimiwa badala yakumtoa kwenye janga alipo hata aolewe awe mkeo wapili umkanye marafiki wamapombe na starehe achane navyo na mfanye vitu vya maana mf. Akope mkopo mchange mjenge nyumba za biashara au mjenge nyumba zenu za kuishi au mfungue biashara ambayo itawaletea faida mke wako wandani asilimia kubwa hatokufikisha utakapo kwa sababu kuu mbili 1. Anamatarajio wewe ndio uendeshe biashara .
2. Anajisitiri mkiachana asichekww alikuwa anafanya nini siku zote hawa wakina mama j ndio wanaupendo wakweli maana anajua dhamani yako .

Sasa wewe kila siku unamchezea mtu wenye maana hivyoo .
Leo unamdharau ila siku atapata wakumsitiri atampa mawazo pevu kama haya hutamwona tena utabakia unashangaa.

Jingine wanaume wanamna hiyo hawanaga support kwa jamii mtu anafuatwa tu kwasababu fulani .
Acha hii tabia kwasababu mwisho wake mbaya .
Usipende kumuumiza mwanamke kwa lolote maana leo kesho ndio utaenda kumlilia.

Sijasema mkeo mubaya hapana .
Mkeo ni mzuri na anajali ila wanawake wanje asilimia kubwa ndio washauri wazuri nandio wanaongea point.

Haya shauri zako.
Mrudishie hizo hela mpende nakumjali mama j wako.
Na mchane live ache ujinga fanyeni mama chanja acheni asi hii ni life sio kila siku mnajiweza
 
Umeongea hadi nimesisimka mwili na akili, wanawake kazi ipo. Kuchepuka chepuka lakini syo Na huyo mwanamke hafai kabisa.
 
Hili nalo neno,
MamaJ akishakosea atakutaftia engo akupe show ya Nguvu na ugomvi uishie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…