[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiwa na akili hata kidogo, story nying za huyu jamaa Ni kusadikika. Ingawa anajaribu kuzipa uhai wa uhalisia.
Hasa ambavyo anatuma na ushahidi wa majibizano ya simu (ambayo ni fake pia). (Anatumia Simu kitochi-mama jay- kutuma sms kwenda kwa smartphone).
Kuna Sehem mama Jay kaenda choon Mara mbili wakat hajamaliza Ile Savanna moja. We umeona Wap?.
Mama Jay anaishi mwenyewe Ila kila siku anamaliza mkate mmoja. [emoji849][emoji849] Maana ndan ya siku 3(alhamisi, ijumaa na jumamosi) zinazofuatana Jamaa kaenda kwa mangi kununua mikate.
Kuagiza Amarura 4 kwa wakat mmoja, we umeona Wap[emoji849][emoji849][emoji849].
Unaenda kwa mwanamke unaoga tu, unaacha Kodi ya meza.
Mama Jay huyu huyu ambae sikumbuk Kama nyuma alikuwa anakazi.
Maana kutwa nzima Ni kulewa na shosti ake. Mara kulipiwa Kodi. Mara anakataa elfu 5 ya chakula. Leo hii eti amekuwa supervisor anapewa aka process cheque ya mill 2 na anaenda nayo nyumban bila kuwatumia wenzake.
Anyway, jamaa ni mtunzi mzuri. Ana weza kuipa uhai story yoyote.