Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Huyu jamaa kazidiwa akiliUsidate na mwanamke aliekuzidi shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa kazidiwa akiliUsidate na mwanamke aliekuzidi shida.
Ni dhaifuu au mjinga?[emoji14][emoji14]Samahani ndugu mtoa post kama utakwazika na maoni yangu lakini baada ya kupitia stori yako na stori zako za nyuma kuhusu huyu mchepuko wako.....nathibitisha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu.......na unapaswa kuitazama hili kwa makini kabla ya anguko lako......... niwie radhi ndugu mtoa post.......
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukiwa na akili hata kidogo, story nying za huyu jamaa Ni kusadikika. Ingawa anajaribu kuzipa uhai wa uhalisia.
Hasa ambavyo anatuma na ushahidi wa majibizano ya simu (ambayo ni fake pia). (Anatumia Simu kitochi-mama jay- kutuma sms kwenda kwa smartphone).
Kuna Sehem mama Jay kaenda choon Mara mbili wakat hajamaliza Ile Savanna moja. We umeona Wap?.
Mama Jay anaishi mwenyewe Ila kila siku anamaliza mkate mmoja. [emoji849][emoji849] Maana ndan ya siku 3(alhamisi, ijumaa na jumamosi) zinazofuatana Jamaa kaenda kwa mangi kununua mikate.
Kuagiza Amarura 4 kwa wakat mmoja, we umeona Wap[emoji849][emoji849][emoji849].
Unaenda kwa mwanamke unaoga tu, unaacha Kodi ya meza.
Mama Jay huyu huyu ambae sikumbuk Kama nyuma alikuwa anakazi.
Maana kutwa nzima Ni kulewa na shosti ake. Mara kulipiwa Kodi. Mara anakataa elfu 5 ya chakula. Leo hii eti amekuwa supervisor anapewa aka process cheque ya mill 2 na anaenda nayo nyumban bila kuwatumia wenzake.
Anyway, jamaa ni mtunzi mzuri. Ana weza kuipa uhai story yoyote.
Hahahahaaa......wewe wasemaNi dhaifuu au mjinga?[emoji14][emoji14]
Ahahaha haaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji23] hili swali la msingi ujue[emoji1787][emoji1787]Samahan mkuu..una umri gani?
Asiende aje kwako?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usiende
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji38]watu wafupi ni ving'ang'anizi hatari we DeepPond utakuwa mfupi tuu na kitambi juu
Vipi ulienda kwa majay? Tunasubri mrejeshoHeight yangu Ni 183cm