Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

Samahani sana mkuu ila kiukweli una-date na Boga, We nilichogundua unajaribu sana kwenda nae sawa ila hujajua kwamba ni boga.... Jambo ambalo linafanya uanze kuelekea kuwa boga pia.... Take care, Be loyal na uachane na michepuko ikiwa una mke na ametulia.
 
Ila watu mnachezea ela jamani duh.
Alafu hivi bar kama mimi sijaagiza nawezaje kulipishwa?

Hivi huo uswahili wa kugawa nyama kwa plate mtu anaupataje?

Kemea hiyo tabia kwa huyo mchepuko maana atakuaibisha siku uko na wat mnaheshimiana. La mwisho kila ukienda bar na huyo soo called mama j
Mchukulie kukuchoma mixa mbuzi na ndizi/chips mkeo na watoto wako.

KILA UKIENDA utanishukuru baadae
Ukipigwa changamoto mama j atakimbia hata umkabidhi Atm....kwa sasa ila letsay umelala kitandani uwezi kuzichanga. Watoto na mkeo ndo watapambania kombe. So usispend ela nyingi hivyo nje 200k+ in a day??

Samahani kama nimekukera
 

Shida ya wanawake wa hivi kuwaacha ngumu sijui kwanini mi kuna moja kaniendesha miaka mitatu ikafika hatua nikapata anayefanana nae ndio pona yangu ila nilikuwa kama mjinga
 

Asante Sana kwa USHAUR wako dada angu masai dada na ntaufanyia KAZI.

Kuhusu kumkabidhi ATM card hiyo kitu nahisi alishawahi kuonyesha viashiria vya kujaribu nikampiga marufuku,

Aliwahi kujinunisha na kususa kunipa penzi kisa anataka aijue namba yangu ya Siri ya nmb mobile, kisingizio Mimi Ni mpenz wake nna mpango wa kumuoa na afu Mimi naijua password ya kadi yake ya benki.

Nikamwambia huo UPUMBAVU sifanyi, hata mama yangu mzazi haijui utakua wewe tulokutana ukubwani!

Usilinganishe thamani ya hiyo kadi yako na hii kadi yangu nnayozungushia mtaji wangu, tupendane TU haya mambo ya Siri kuhusu pesa zangu hayo hayakuhusu.
 
Ila mama j kama hajakuweka kwenye chungu sijui.

Watu wengi wanatafutaga mchepuko ili kupunguza stress za ndoa, Ila wewe mchepuko ndo anakupa stress

Hahahah kuwa makini asije akakuvuruga mpaka siku ukaomba ushauri kwa wife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…