Mkuu tatizo ujitoi sana kwa mke wako nguvu zako umewekeza kwa mchepuko me nakushauri kama rafiki yako aachana na huyo mamajay ukutakiwa kujenga kibanda mkuu pale wewe ungekuwa unapiga tu unasepa mnakutana tu Kwenye mnyanduani lakini isiwe kama unavyofanya wewe hiyo hela unayopoteza hapo si Bora ukawekeza kwa mke wako na watoto wako ndio watu ambao hawatakuacha.Mwanamke Malaya Ni Malaya TU,
Mwanaume ukikosea kuoa, ukaweka ndani mwanamke Malaya jua hiyo imekula kwako. Watakugongea Sana TU.
Nnachojua
Hakuna excuse yoyote kujitetea mwanamke malaya akifanya umalay wake.
Wapo Wanawake wajane,waliaochwa na walio single wengi sana wanaojitunza mpk wanakufa hawajashiriki mapenz na wanaume tofauti na waume zao.
Tusipende sana kugeneralize mambo
Wapo Wanawake wengi wanajiheshimu na kuheshimu ndoa zao.
MKE wangu Ni mmoja wapo,
namshkuru sana mungu na wake zangu
Kwa kunipatia zawadi Hii ya mke Bora na mama Bora wa watoto wangu.
Mwanamke anaweza asiwe malaya ila Wanawake ni dhaifu kama hautajitoa sana kwa mke wako wapo watu wenye vipawa vya ushawishi watafanya mkuu kwa mke wako